mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 463
Hiyo harufu ya ugimbi wa jana vumiliatuu!Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo ..
Walevi na wavuta sigara.wengi wanaonuka midomo ni walevi
Lawama kwa wake zaoKwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
🤣🤣🤣🤣Suluhisho ni katiba mpya
Utakuta mtu anatafuna BIG G kuanzia asubuhi hadi usiku wa manane kuficha kunuka kwa domo.Midomo ni kwa wote sio me tu hata ke wananuka midomo balaa!
Kunuka mdomo ni Zaid y kusafisha menoLawama zote ziende kwa wamiliki wa midomo inayonuka.
Watu wa hivyo hata tigo zao hawasafishi ipasavyo!
Ungempa za utosi....au swali flani amazing kama "ivi mkuu, dawa za meno zinauzwa wapi?"Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo...