mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 463
- Thread starter
- #121
Alafu nimesha kujua wenanHao wanuka midogo ndio type yako
Ndege wafananao huruka pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu nimesha kujua wenanHao wanuka midogo ndio type yako
Ndege wafananao huruka pamoja
Truth!Mwanaume akiwa mchafu tunaangalia mwanamke alomuoa au alonae kweny mahusiano yuko vip[emoji2955]
Ukatambize na mizimu ya mabibi na mababu wa kwenu hukoAlafu nimesha kujua wenan
Nikujue ili iwaje...imejitangaza hapa kwamba umetest wanaume woteUnamatatizo ya ikili kajitibu kwanza...yan kama vile unanijua
Ivi unaakili kweli ni wapi nimejitangaza nimetest na wanaume how come natest na mwanaume mwenzangu.kwanza hiyo nyuzi umeielewa vizuri haki yamungu unamatatizo ya ikili yanakusumbua kijana...katibiweNikujue ili iwaje...imejitangaza hapa kwamba umetest wanaume wote
Sio kweli , afya ya kinywa na wengine wanaumwa matumbo, unakuta harufu inatoka tumboni inakuja mdomoni hata apige mswaki vipi haitoki halafu unakuta hajijui kama ananuka ila ukikaa nae pembeni khaa harufu ya mdomo ikiwa mbaya ni afadhali ya mavi!!!Hahaaaaaaa pole mdau , kunuka midomo , soksi, kwapa , chupi, K etc ni dalili za umasikini ,ukiona mtu ananuka mdomo yaani huyo ni masikini tu hakuna kingine
Kitaalam hilo shombo la Colgate linatakiwa libaki, ukisharudia kupiga mswaki wenye dawa mara ya pili, hupaswi kusukutua. Tema dawa na nenda zako huku ukiacha kinywa kikiwa na ladha ya dawa kwa ajili ya kulinda kinywa chako.Namna ya kisafisha kinywa kwanza weka dawa ya kiasi kwenye mswaki wako, then maji yawe masafi utaswaki meno, utasafisha ukuta wa juu na wachini wa kinywa chako, lakini utahakikisha unatoa ulimi kwa nje na kusugua ulimi na mswaki wako, utatema hiyo dawa na kupitisha maji halafu weka tena dawa kidogo fanya kama ulivofanya awamu ya kwanza halafu utasafisha kinywa mara tatu na maji bila dawa huku ukisafisha na ulimi kuondoa shombo ya dawa ya meno sio unamsogelea mtu unanuka colgate tupu