Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

Ni sawa na kusema Watu walio na shida ya miguu kuwa na harufu kali hawaogi au hawanawi miguu.
Huo ni ugonjwa hata akipiga mswaki vipi lazima baada ya muda mfupi tatizo Lina endelea
 
Kuna dawa inaitwa mouth wash ukiona unanuka mdomo basi sukutua kila asubuhi ila ndo utaua hadi wadudu muhimu kwa mdomo wako.
Ama piga mswaki kila umalizapo mlo
 
Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.

Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.

Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
🤣🤣🤣wanapenda kula kula ovyo
 
Umelala nao wote hao?
 
Utafiti uliofanyika unatia mashaka au ni kutaka kuidharirisha jinsi mojawapo. Utafiti wa kukutana kwenye semina tupunguze kukurupuka
 
Yani hili n janga kubwa sana, kuna mkaka nilishawah kudate nae , alikua handsome balaaa, njee n msafi balaaa, the day namkiss sikutaman kurudia tena , mdomo unanuka mavi yakasomee, mmmh yule kaka hapana jmn
Nimeshapona hilo tatizo mkuu, naomba tuendeleze mahusiano yetu tafadhali!!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hvi unajua kuna mtu ni mbishi ubatafta kioa namna asinuke mdomo lakin ni mbishi had unamuomba atumei hata mouth wash anakataa, mswaki anasugulia meno tu wakat uliki una mabaki ya vyakula ukijarbu kumwelekeza hata kijanja asijiskie vbaya anadengua, sasa mtu wa hvyo utanfanyaje au nae tumlaumu mke wake?
Siku mkitofautiana utasikia ndo maana mbwembwe nyingiiiii mara sugua mdomo vizuri ....kumbe una mambo yako!!!!....

Ndo utazidi kuchukia......

Na ukute HATA havihusiani
 
Back
Top Bottom