Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

Kazi yenu kuchunguza midomo ya watu na makwapa Kama yananuka au yananukia.Nyie katiba mpya mtaisikia kwa majirani.
 
Hivi utajijuaje kama unanuka mdomo. Mimi nimeshindwa kabisa kujua hili jambo aisee
 
Yani hili n janga kubwa sana, kuna mkaka nilishawah kudate nae , alikua handsome balaaa, njee n msafi balaaa, the day namkiss sikutaman kurudia tena , mdomo unanuka mavi yakasomee, mmmh yule kaka hapana jmn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo huku mzabzab wanakusema

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Imekuwaje tena jamani...mie mbona sijawahi kutana na warembo wa jf....mnanisingizia. warembo nikiwatongoza pm wanasema eti wee muendesha bodaboda huna cha kutuhonga
 
Yani hili n janga kubwa sana, kuna mkaka nilishawah kudate nae , alikua handsome balaaa, njee n msafi balaaa, the day namkiss sikutaman kurudia tena , mdomo unanuka mavi yakasomee, mmmh yule kaka hapana jmn
Madhara ya kunyonya kinyeo hayo
 
Suala la kunuka mdomo ni kwa kiasi kidogo lina husina na kutokupiga mswaki vizuri… Nilielezwa hivyo na daktari wa kinywa

Wakati nasoma kulikuwa na rafiki yangu yeye alikuwa na hilo tatizo la kunuka mdomo haswaaa yaani ni alikuwa ananuka sanaaaaa….

Sasa alikuwa ana harufu mbili ya kinywa na mwili yaani ukilala nae akikupumulia namaanisha anavopumua puani anatoa harufu kali na kama ya kuozaa

Yule dada hakuwa mchafu alikuwa anaoga mara 2 kwa siku wakati mimi nilikuwa naoga mara 1 tu

Alikuwa anajitahidi kupiga mswaki mara mbili wakati mwinginee mara 3 hii ni kutokana kwamba tulimwambia ukweli kuwa ana harufu ila hiyo yote haikusaidia

Tuliambiwa na daktari hiyo harufu inatokea ndani ya mwili matibabu yanatakiwa yaanzie ndani… hii sikupinga kwasababu

Nina rafiki mwinginee yeye huwa mswaki anaweza asipige hata week yaani mpk umwambie tunatoka ndio anaendaa kupiga mswaki lakini hatujawah kusikia akinuka mdomo hata mara moja

Ndio maana nikashauri kwenda kuwaona madaktari wa vinywa walau mara mbili kwa mwaka sio mbaya kabisa,
 
Kiujumla tukubali wengi wetu hatujali afya ya kinywa na hatujui kutunza vinywa vyetu. Tumekaririshwa kuswaki asubuhi kusukutua chap chap na kusepa.

Hakuna mwamko sana nchini kuhusu jinsi ya kutunza kinywa na jinsi ya kupiga mswaki.
 
Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.

Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.

Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
Tumekuskia mkuu tutajirekebisha
..hili swala n kweli kabisa aisee

Alafu sio wanaume tuu kuna baadh ya wanawake pia n wazuri ila wananuka midomo n balaa
 
Kuzama uvinza na topeni, afu usafi wa kinywa hawawezi.

Suluhisho ni usafi wa kina, hakuna kuzakiwa na hsrufu wala magonjwa sugu ni uongo, usafi muhimu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hasa wavuta Sigara na wanywa pombe yaani akikusogelea wanawake wanao lala nao kitanda kimoja jumlisha Shuka moja wajengewe Sanam[emoji51][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harufu ni ya sigara itakukera km hupendi harufu yake.
Inakuwa mbaya zaidi kama na mdomo ni mchafu. Ninaishi na mvuta sigara sijawahi kukereka harufu yake.
Harufu ya sigara au bangi ni tofauti na ya mdomo, tena harufu ya Bangi ina ka mshawasha fulan ka kuibua nyege zilikolala.

Ila huyo mtu awe msafi.
 
Yani hili n janga kubwa sana, kuna mkaka nilishawah kudate nae , alikua handsome balaaa, njee n msafi balaaa, the day namkiss sikutaman kurudia tena , mdomo unanuka mavi yakasomee, mmmh yule kaka hapana jmn
Hukutapika??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui na mm nipo? Nliwah fanya research kwa watu kadhaa
Walinmby hapan
Japo ni rafiki Angu
Sa sijui walinidanganya!
 
Back
Top Bottom