Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Waelimishe wasafishe ulimi wakati wa kuswaka na wasilale na shombo waswaki kabla ya kulalaKwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...