Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima anayenuka mdomo awe ni mlevi.Wengi wanaonuka midomo ni walevi
Hakikisha unasafisha kinywa chako mara mbili kwa siku, yaani ukimaliza kula usiku au wakati wa kulala usilale na mabaki ya vyakula kinywani, lakini asubuhi pia hakikisha unasafisha kinywa chako vizuri kabisa, badilisha miswaki kila inabotakiwa, unaweza kutumia nyuzi maalumu kusafisha katikati ya meno walau mara mbili kwa mwezi sio mbaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunajitahidi tusinuke midomo, japo ni muhimu vilevile kuwa na 'art' ya kuongea! ... usiongee kwa kujiamini kupita kiasi karibu na pua za wengine! ... kama kwenye kikao simama ukichaguliwa kuongea!
[emoji28]
Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...