Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Weeeee! Usitwambie 😝😝Hahaaaaaaa pole mdau , kunuka midomo , soksi, kwapa , chupi, K etc ni dalili za umasikini ,ukiona mtu ananuka mdomo yaani huyo ni masikini tu hakuna kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeee! Usitwambie 😝😝Hahaaaaaaa pole mdau , kunuka midomo , soksi, kwapa , chupi, K etc ni dalili za umasikini ,ukiona mtu ananuka mdomo yaani huyo ni masikini tu hakuna kingine
Hili ni tatizo kubwa sana, limenikuta zaidi ya mara tano, naogopa sana kunuka mdomo na nikisikia tu harufu naenda kusafisha mdomoKwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
Tatizo kubwa kuna vishiria vingi.Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
Na wao wanavutaga fegi?Midomo ni kwa wote sio me tu hata ke wananuka midomo balaa!
Duuu kama ndoivyo unaishi kwenye mateso sanaTatizo kubwa kuna vishiria vingi.
idha kuna ile inaitwa halitosis, yaani vyanzo vya mate kuwa na vijidudu ambayo vikioza harufu inakuwa kai.
Au mdomoni meno yametoboka na vyakula viivyoza bado vinabaki mdomoni hivyo kuleta harufu.
Madaktari mliopo humu tupeni njia ya kusahihisha hili.
Binafsi nina dame wangu, mzuri sana, lakini ana ile halitosis.
Hata kupiga busu shida.
Hvi unajua kuna mtu ni mbishi ubatafta kioa namna asinuke mdomo lakin ni mbishi had unamuomba atumei hata mouth wash anakataa, mswaki anasugulia meno tu wakat uliki una mabaki ya vyakula ukijarbu kumwelekeza hata kijanja asijiskie vbaya anadengua, sasa mtu wa hvyo utanfanyaje au nae tumlaumu mke wake?Lawama kwa wake zao
Na tatizo ni ngumu sana kumpa makavu mtu anayenuka mdomo.Alafu wanakuwaga wanaongea huku akiwa karibu yako na analazimisha umpe attention😂😂😂
Especially awe mpenzi wako😂Na tatizo ni ngumu sana kumpa makavu mtu anayenuka mdomo.
Always unaona utamnyima raha tu unachuna.
Kwa mpenzi ntajaribu kumtaftia solution.ikishindikana tuachane for good.Especially awe mpenzi wako😂