Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

Mleta mara mwehu Tena Unakuta msomi kabisa kajenga mabondeni bonde la msimbazi au kando ya mito kibao au eneo la mabonde na hati Hana Wala hakuna wa kumpa hati mafuriko yakitokea anaongea kingereza ITV utafikiri ITV ni TV ya BBC kingereza
Kama ungeelewa mambo, ungejua kuwa athari za mafuriko hazijawakumba walio mambondeni tu. Hii mada si kwa ajili ya watu walio mambondeni, ni kwa ajili ya mfumo wa mtititiko wa maji kwenda baharini bila kuharibu miundombinu.

Hayo madaraja yaliyobomolewa, ni kwa sababu serikali imeyajenga bondeni?
 
Sometimes hii nch tunalaumu mno serikali,
Watu wanajenga kwenye mikondo ya maji, wengine hadi wanatoa rushwa ili wajenge, then yakija mafuriko wanakimbilia kusema serikali, hahah
Dodoma, ukijenga ukuta wa fence, bila kibali, haipiti siku mbili,lazima maofisa wa jiji, watafika kubomoa,hulka ya binadamu, ni kuvunja sheria, ndio maana serikali ipo,kusimamia sheria,
Watu wapo wanakula mishahara kwanini hawafatilii wanaovunja sheria za, ujenzi, nchi imeoza.
Huku Afrika, ni aibu tupu
 
Hivi hizi mvua zimeathiri walio mambondeni tu? Mie naongelea mpandilio wa drainage ya Dar baada ya hizi mvua kuathiri walio na wasio mabondeni. Ndio maana Bibi yule Faiza, anawauliza mlienda shule gani hata post hamuwezi kusoma mkaelewa kabla ya kujibu??
 
Mleta mara mwehu Tena Unakuta msomi kabisa kajenga mabondeni bonde la msimbazi au kando ya mito kibao au eneo la mabonde na hati Hana Wala hakuna wa kumpa hati mafuriko yakitokea anaongea kingereza ITV utafikiri ITV ni TV ya BBC kingereza
Soma uelewe, ulienda shule gani? Mada haiongelei kujenga mabondeni, bali drainage ya Dar es Salaam
 
Kupanga miji tu shida,
South Korea wamezindua Air tax, UAM, urban air mobility tex,
Hizi, ni ndege ndogo kama kama drones, zinabeba watu, Zita kuwa kama tex mjini,
Dunia ipo mbaaaali sana. Huku kwetu, mi ccm, ni kama imeoza, u bongo, kilimo shida, elimu hovyo, dunia inafanya vitu vikubwa, huku kwetu, unakuta watu wanakusnyika kumsikiliza, Makonda, anapigia mawaziri simu! Kama, vile ni kitu cha maaana, sana!
 
Nilikua na wazo kama hiyo point yako namba mbili.

Serikali iangalie namna ya kutendeka mifumo ya kukusanya maji na kuyapeleka baharini.
 
Hameni, acheni kuongea kwa sauti.


Suluhisho ni moja tu, KUHAMA au kubaki kusubiri maafa zaidi.
Siku zote mchuma janga hula na wakwao.
Daraja la kunduchi limebomoka. Kwa hiyo unasgai watu waishio Kunduchi wahame? Hivi mmesoma kweli nyie? Unaelewa thread inaongea juu ya nini? Au unamaanisha watu wote Dar wahame?

 
Nilikua na wazo kama hiyo point yako namba mbili.

Serikali iangalie namna ya kutendeka mifumo ya kukusanya maji na kuyapeleka baharini.
Nina wasiwasi kama hilo ni la kipao mbele kwa serikali hii. Wako busy wanamtafutia mama maua
 
Pale jangwani mvua kidogo unakuta magred yanatoa tope kila mwaka wameridhika ...Ile barabara kutokea magomeni hata uendeshe gari unaona kabisa unashuka kama kweny shimo.


Wanashindwa vip pale kujaza enzi za kutengeneza kituo cha mwendo kasi pale level mpaka mapipa hapa
 
Tatizo ni wanasiasa maana wao ndo huonea watu huruma kisa Kura.

Ilitakiwa watu wote ambao wapo kando ya mito waondolewe kwa umbali wa 60m
 
Dar es salaam yote inatakiwa isombwe na maji ibaki nyeupe Kama jangwa la Sahara. Mji gani haujapangiliwa vizuri sio masaki wa obey Wala tandale kote nyumba zimerundikana Kama taka ndani ya dustbin.wacha isombwe tu tumewachoka watu wa dar kwa kulia lia
 
Mfano pale Tegeta waathirika wote wamefata mto wenyewe na serikali imeona bora imuache akae hapo tu mto utamuondoa
 
Sometimes hii nch tunalaumu mno serikali,
Watu wanajenga kwenye mikondo ya maji, wengine hadi wanatoa rushwa ili wajenge, then yakija mafuriko wanakimbilia kusema serikali, hahah
Mnatoaje kibali cha ujenzi kwenye bonde?
 
Wewe kajamaaa mtu wa lawama tu January 05.2024 London mji mzuri umapangwa ukapangika mito imepigwa hadi sakafu na kingo zinakuta ila tu nayo imeflood all river zimeoverflow ndio maana ya natural disaster panga upangavyo ila zikija ndio inakuwa hivyo.
 
Well analysed and presented kudos to you fella tatizo nchi hii viongozi wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…