Ohoooo!!! Washindaze?MPARE kutoka mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga
Moro kubwa upo sehemu gani?Niko moro
Kihonda bimaMoro kubwa upo sehemu gani?
Ok poa mkuu.Kihonda bima
Mulangira, soma hapo. Mimi sikumbeza huyo aliyeleta post, anaweza kweli alifanya ka utafiti.Labda ametumia observation, hahahahaha, mlangila tarairoto
hujuh mikoani ni wap pole sana mfano wa mikoani moro,iringa ,tabora,njombe,kigoma,rukwa,songea utaongezea mingineMikoani ndo wapi mkuu
wengi wamemaliza sikatah lakini chimbuko ni kuanzia wanafunzi na wanavoendelea na maisha ndo unakuta majukwaa mengine yanapwaya....JF ina miaka10
Hawamalizi kusoma.
ubashite umefikaje sasa shit .... mbona simpo way tu kwamba dar ni jiji kwingine ni mikoani tu....Kwani Dar sio mkoa...Hahahaa mbona mmekariri vibaya hivyo Acheni ubashiteism!
Kasoro mimiNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
ahaaa jirani tu hapo nipo kihonda sec....Niko moro
Wanachama asilimia ngapi wanamiliki magariNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Mi niko kisaraweTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Okahaaa jirani tu hapo nipo kihonda sec....