Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mtu ana mkopo wa nyumba nzuri, gari zuri furniture nzuri bima ya uhakika ya matatibabuUnaishi Marekani. Kwenye akaunti yako ya benki hauna dola elfu tano.
Wewe ni masikini period.
Familia ina pata mahitaji yake yote necessary na luxury kwa asilimia 100+
Isipokua mshahara wake ukitoka tu 50% inakwenda kwenye kulipa mikopo na iliyobaki inakwenda kwenye bills
Huu sio umasikini mkuu..... ni MFUMO
Wenzetu wametengeneza mifumo mizuri ya kumfanya mtu aishi maisha bora bila kuwa na mabilioni cash au bank as long as anafanya kazi
Maisha yetu yakibongo yanataka uwe na hela cash au bank ili ujenge nyumba ununue gari nknk