Asilimia 70% ya wamarekani( USA) ni masikini. Takwimu hizi ni za ukweli?

Unaweza kuta masikini wa USA AU CANADA akija tanzania basi anaweza kununua apartment morroco square bila tatizo lolote.........sasa huyo masikini au tajili aliyechangamka??..................kingine nitoe rai tuache kufananisha karabai na mshumaa ................
 
Tatizo Africa hata ukiwa na hela bado unaweza usipate maji ya uhakika toka mamlaka ya maji, umeme wa mawazo, barabara mbovu, na hata dawa hospitalini usipate. Hata kama US ni ngumu kutunza pesa ila ukiwa nazo utapata huduma zote bila longolongo. Africa kuna saa wenye hela na wasio na hela tunakuwa sawa na kupitia shida.
 
Watakujaje wakati taarifa inasema hawamiliki walau dola elfu tano kwenye akaunti zao
Maisha ya Bongo yamewalemaza sana. Bongo watu wanadhani kila mtu ni lazima 1. Awe na kipato cha ziada kitachosaidiana na kazi yake 2. Awe na investiment kwa ajili ya kustaafu na watoto 3. Awe na fedha nyingi benki. Haya mambo kuna nchi siyo lazima hata kidogo kwa sababu system ilivyotengenezwa kila kitu kinajitosheleza. 1. Ukistaafu pension inakutosha na watoto hawatakutegemea. Mshahara unatosha
 
Tatizo Africa hata ukiwa na hela bado unaweza usipate maji ya uhakika toka mamlaka ya maji, umeme wa mawazo, barabara mbovu, na hata dawa hospitalini usipate. Hata kama US ni ngumu kutunza pesa ila ukiwa nazo utapata huduma zote bila longolongo. Africa kuna saa wenye hela na wasio na hela tunakuwa sawa na kupitia shida.
Kwakweli
 
Maisha ya Bongo yamewalemaza sana. Bongo watu wanadhani kila mtu ni lazima 1. Awe na kipato cha ziada kitachosaidiana na kazi yake 2. Awe na investiment kwa ajili ya kustaafu na watoto 3. Awe na fedha nyingi benki. Haya mambo kuna nchi siyo lazima hata kidogo kwa sababu system ilivyotengenezwa kila kitu kinajitosheleza. 1. Ukistaafu pension inakutosha na watoto hawatakutegemea. Mshahara unatosha
Kumbe!!!
 
Daah mmefikia level ya mwisho ya kufikiri mnataka kulinganisha USA na Tanzania aisee wanaposema Nchi masikini ni pamoja na uwezo wa kufikiri ni wa kimasikini sana..
Acha kukurupuka
 
Imefika mahali ni kujipa moyo
Maisha ya Bongo yamewalemaza sana. Bongo watu wanadhani kila mtu ni lazima 1. Awe na kipato cha ziada kitachosaidiana na kazi yake 2. Awe na investiment kwa ajili ya kustaafu na watoto 3. Awe na fedha nyingi benki. Haya mambo kuna nchi siyo lazima hata kidogo kwa sababu system ilivyotengenezwa kila kitu kinajitosheleza. 1. Ukistaafu pension inakutosha na watoto hawatakutegemea. Mshahara unatosha
Uko sahihi wenzetu huko Kuna hiyo mifumo tayari,watu wanalinganisha na bongo😂
Big no!
 
I agree thats really nimesoma kitabu kimoja kinaitwa Fastlane millionaire ame andika Mj Demarco ameongelea kuhusu USA pamoja na immigrants from all over the world wanao ishi by paycheck in USA

Okay 👌 thats really

Tuje uku kwetu ambako kila kitu ni disaster

Kuanzia umaskini wa mawazo mpaka mfukoni

Watu wapo busy na mipira kila kukicha na umbea
 
Ilitakiwa usome na " Capitalism" Pia.

USA is a capitalistic nation.

Characteristics of capitalism:👇👇

Capitalism has two classes👇👇👇

1. Very rich people ( which are the minority) and

2. Very poor people( which are the majority)

Ndo hi to article inacho kisema.

70 percent ya wamarekani hawana dola elfu 5 kwenye akaunti zao.

Sasa 70 ndio hawana dollar lkn im pretty sure tz bado hata bank wapo watu hawaja wai ingia tanga sehemu nyingi elimu hamna watu wanachimbia hela chini mpaka leo

Wenzetu even kuna kaz kama huna gari hupati lkn uku gari nikama pinnacle of living
 
Tupo kwenye Nchi bado wanashangaa Ford ranger wild truck ya 2022 harafu wanataka kufananisha life na Nchi magari,Chakula na matibabu washasahau...
Mkuu wengi tunakua tunashangazwa na malalamiko ya wamarekani wa level ya kawaida, ya kwamba ili kusupport life inabidi afanye kazi 2 mpaka 3 wengine, hili limekaa vipi. Na kwanini kuna wimbi la watu wengine wanaoponda 9 to 5. Imekaa vipi hapa,

Kama wakipatikana watu wanaoishi majuu huko itakua nzuri wakatufafanulia
 
Back
Top Bottom