Asilimia 70% ya wamarekani( USA) ni masikini. Takwimu hizi ni za ukweli?

Mkuu wengi tunakua tunashangazwa na malalamiko ya wamarekani wa level ya kawaida, ya kwamba ili kusupport life inabidi afanye kazi 2 mpaka 3 wengine, hili limekaa vipi. Na kwanini kuna wimbi la watu wengine wanaoponda 9 to 5. Imekaa vipi hapa,

Kama wakipatikana watu wanaoishi majuu huko itakua nzuri wakatufafanulia
Ukiwa na kampuni ya Utalii ukiweza kupata wageni 10 mpaka 20 kutoka USA kwa season moja jua kampuni yako itaendelea kufanya vizuri sana maana wao wakija wanataka kufikia hotel sio za kujibana kama Wafaransa UK au Wachina.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

With all due respect(kwa hisani ya mkoloni)

Jibu haliendani hata kidogo na swali
 
Hivi mkuu unadhani Dunia nzima wanahangaika kuingia USA na mataifa mengi wanalalamika kufutiwa Visa na Trump kama ingekua ni Nchi ya tia maji tia maji kama mnavyodanganyana nani angeenda..
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ukiwa na kampuni ya Utalii ukiweza kupata wageni 10 mpaka 20 kutoka USA kwa season moja jua kampuni yako itaendelea kufanya vizuri sana maana wao wakija wanataka kufikia hotel sio za kujibana kama Wafaransa UK au Wachina.
Wamarekani wanao kuja kutalii Africa ndio hao asilimia 30 wanao tajwa ambao ni kama milioni tisini. Waliobaki ( milioni Mia 2 na 90 na usher) ndio hao masikini ambao hawawezi hata kuja Africa. They don't have that kind of money
 
Hivi mkuu unadhani Dunia nzima wanahangaika kuingia USA na mataifa mengi wanalalamika kufutiwa Visa na Trump kama ingekua ni Nchi ya tia maji tia maji kama mnavyodanganyana nani angeenda..
MKuu nimesoma comments nikaona angalau unaexposure na US sjajua either umeishi au kwa kufatilia tu.

Nikauliza swali langu separate ambalo lina claims za kawaida tu na common kwa jamii za kimarekani.

Lakini naona swali langu umelitafsiri tofauti na umenimuisha kwenye hoja ya mtoa mada, hii imenishangaza sana mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mwamba huyu hapa magetoni kwake...California moja hiyo

20240526_005555.jpg
​
 
MKuu nimesoma comments nikaona angalau unaexposure na US sjajua either umeishi au kwa kufatilia tu.

Nikauliza swali langu separate ambalo lina claims za kawaida tu na common kwa jamii za kimarekani.

Lakini naona swali langu umelitafsiri tofauti na umenimuisha kwenye hoja ya mtoa mada, hii imenishangaza sana mkuu
USA naenda mara kwa mara mkuu naenda kutembea tu jamaa zangu ndio wanaishi huko..
 
  • Thanks
Reactions: Lax
USA naenda mara kwa mara mkuu naenda kutembea tu jamaa zangu ndio wanaishi huko..
Basi swali langu lilienda sehemu sahihi, ila majibu yako mkuu yamekua tofauti kabisa(hayajagusia nilichokiuliza)
 
Duh kujipa moyo wa kiwango cha juu mno , chawa bhana🤔
 
1. Ni wa Marekani wote wanamiliki nyumba?( mortgages) ... No. Only very few of them

2. Ni wa Marekani wote wana kopesheka nyumba ? ( mortgage)

.... No.

3. Ni wa Marekani wangapi wanaishi Ghetto?..... So many of them.

4. Ni wa Marekani wangapi hawana sehemu za kulala? ( Homeless)

So many of them.
Mkuu kwanza ondoa dhana ya kwamba kuna nchi duniani watu wake wote ni MATAJIRI au watu wake wote ni MASiKINi.
Mahali popote pale matajiri wakubwa lazima watakua wacheche

Majibu yangu yalikua specific kwa quote hii👇👇👇
Unaishi Marekani. Kwenye akaunti yako ya benki hauna dola elfu tano.

Wewe ni masikini period.
UMASIKINI una tafsiri yake kidunia
Umasikini ni namna watu wanavyo ishi chini ya kiwango cha kujikimu kimaisha kwa mambo MUHIMU..... na sio balance yako ya bank

Kinacho fanya wawe na rate nzuri ya maisha kuliko sisi ni kwamba Wenzetu mifumo yao ya kimaisha inawafanya watu wasiishi KIMASIKINI hata kama hana hata Cent moja kwenye Acc au cash as long as anafanya kaZi(ndio maana ya bandiko ulilo ni quote)

Sasa kama wewe unakomaa kwamba kama hawana hizo dola kwenye Acc basi ni MASIKINI hayo yatakua ni matatizo yako ya UFAHAMU
 
Mambo ya masikini wa Marekani haya👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • 1746351214329.jpg
    1746351214329.jpg
    277.7 KB · Views: 11

Attachments

  • 1746351214329.jpg
    1746351214329.jpg
    277.7 KB · Views: 14
Back
Top Bottom