Mtu ana mkopo wa nyumba nzuri, gari zuri furniture nzuri bima ya uhakika ya matatibabuUnaishi Marekani. Kwenye akaunti yako ya benki hauna dola elfu tano.
Wewe ni masikini period.
Sawa.Between me and you, the one who is obsessed with USA is you.
Mimi Nina enjoy kuishi kwenye nchi yangu mkuu. I can't feel at home in a strange land.
Tanzania is more safe than US. Why? Kwa sababu there are no guns here.
In US almost everyone owns a gun?
Why owning a gun if the country is good? Why should I be obsessed about a country in which I have to own a gun?
Mtu ana mkopo wa nyumba nzuri, gari zuri furniture nzuri bima ya uhakika ya matatibabu
Familia ina pata mahitaji yake yote necessary na luxury kwa asilimia 100+
Isipokua mshahara wake ukitoka tu 50% inakwenda kwenye kulipa mikopo na iliyobaki inakwenda kwenye bills
Huu sio umasikini mkuu..... ni MFUMO
Wenzetu wametengeneza mifumo mizuri ya kumfanya mtu aishi maisha bora bila kuwa na mabilioni cash au bank as long as anafanya kazi
Maisha yetu yakibongo yanataka uwe na hela cash au bank ili ujenge nyumba ununue gari nk
Ni kweli kabisa mkuu kabla ya internet nilikuwaga najua Marekani ni heaven ila internet imekuja kuexpose kila kituInternet ime expose uhalisia wa maisha magumu ya wa Marekani.
Marekani kuna maisha magumu sana ndio maana mateja ni wengi
Kaka angu mtoto wa baba mkubwa alienda Marekani mwaka 97 kusoma baada ya kumaliza form six mwaka 96. Alilelewa na baba. Alipoenda Marekani ilikuwa sherehe nyumbani tulijua ndio tumetoka kumbe kaenda huko maisha magumu akawa anafanya kazi ya uhudumu kwenye hoteli huku anasoma masomo yakamshinda aka disco akabaki kuhustle hela hatumi wala mawasiliano hakuna karudi 2007 amechoka mbaya before that tulikua tu najua anafanya makusudi kumbe ugumu wa maisha ya Marekani ndio ulio mfelishaNi kweli kabisa mkuu kabla ya internet nilikuwaga najua Marekani ni heaven ila internet imekuja kuexpose kila kitu
Marekani hamna kitu bora ulime hapa hapa bongo Marekani unaenda kula bata tu na sio kuishi eti kutafuta maishaKaka angu mtoto wa baba mkubwa alienda Marekani mwaka 97 kusoma baada ya kumaliza form six mwaka 96. Alilelewa na baba. Alipoenda Marekani ilikuwa sherehe nyumbani tulijua ndio tumetoka kumbe kaenda huko maisha magumu akawa anafanya kazi ya uhudumu kwenye hoteli huku anasoma masomo yakamshinda aka disco akabaki kuhustle hela hatumi wala mawasiliano hakuna karudi 2007 amechoka mbaya before that tulikua tu najua anafanya makusudi kumbe ugumu wa maisha ya Marekani ndio ulio mfelisha
KabisaNi kweli kabisa mkuu kabla ya internet nilikuwaga najua Marekani ni heaven ila internet imekuja kuexpose kila kitu
I agree with uMarekani hamna kitu bora ulime hapa hapa bongo Marekani unaenda kula bata tu na sio kuishi eti kutafuta maisha
Hamna kitu kama hicho masikini ni masikini tuNi kwa vipimo vya nchi za ulimwengu wa kwanza na nchi tajiri za kiarabu kama Qatar, UAE, Kuwait n.k.. hao wanaoitwa masikini akija huku ni tajiri...
Mkuu mbona kama umepanic Fulani hivi? Au takwimu zinakuhusu nini?Nguvu uitumiayo kujipa faraja dhidi ya Marekani, lazima kuna kitu nyuma yake!
Huenda ukawa mhanga wa kunyimwa viza, kurudishwa, au wivu flani…..
kuna umasikini wa kiwango cha kimataifa (absolute poverty) na umasikini wa kulinganisha (relative poverty).Hamna kitu kama hicho masikini ni masikini tu
Kwa USA sishangaiKaka angu mtoto wa baba mkubwa alienda Marekani mwaka 97 kusoma baada ya kumaliza form six mwaka 96. Alilelewa na baba. Alipoenda Marekani ilikuwa sherehe nyumbani tulijua ndio tumetoka kumbe kaenda huko maisha magumu akawa anafanya kazi ya uhudumu kwenye hoteli huku anasoma masomo yakamshinda aka disco akabaki kuhustle hela hatumi wala mawasiliano hakuna karudi 2007 amechoka mbaya before that tulikua tu najua anafanya makusudi kumbe ugumu wa maisha ya Marekani ndio ulio mfelisha
Umaskini wa Tanzania/ Afrika na ule wa Marekani haulinganishiki kabisa!kuna umasikini wa kiwango cha kimataifa (absolute poverty) na umasikini wa kulinganisha (relative poverty).
Mtu anaweza kuitwa masikini Marekani hata akiwa na nyumba ya kupanga, chakula cha msaada, simu ya mkononi , gari na intaneti na ukakuta ana account netflix anatizama movies. Lakini kwa mtu wa kijijini Afrika au Asia, hiyo ni hali nzuri kabisa ya maisha au pengine ni ndoto ambayo wengi wanatamani kuishi hivyo, au ni kipimo cha mtu aliyefanikiwa...
Kwamba kijana mtaani akinunua gari amejipata kimaisha.. Africa bado tupo nyuma.
Kuna tofauti gani Kati ya wamarekani wanao ishi kwenye hood za America na masikini wa Africa.Umaskini wa Tanzania/ Afrika na ule wa Marekani haulinganishiki kabisa!
Hili umeongea mkuu, 😂Huenda masikini wa Marekani ni sawa na tajiri wa kitanzania anaekaa Masaki.