Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa.

Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao?

Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo;

1. Hisa
Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika kiasi fulani ili wapate mtaji.

2. Akiba (personal savings)
Wafanyabiashara wanapoanza wengi hutumia personal savings zao kama mtaji wa awali wa Kampuni au biashara zao.

3. Mikopo kutoka banks au Taasisi za kifedha

4. Mikopo ya serikali
Hapa tunaongelea taasisi kama SIDO TADB n.k

5. Partnerships and joint ventures

Hizi ndio njia common na zinazotumika sana hapa kwetu.

Ingawa kwa wenzetu nje Kuna njia zingine kama

GRANTS
ANGEL INVESTORS
etc.
 
Marhaba 🤝
 
ww umefanya ipi? Baada ya kuzijua
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom