MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Mkuu ww id yako nyingine ni ipi?1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.
Unaweza kuongezea na wewe...
Ukiachana na hii..