financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahaa mazoezi ya kutembea ni mazuri zaidiBaiskeli Pia Mazoezi Mazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa mazoezi ya kutembea ni mazuri zaidiBaiskeli Pia Mazoezi Mazuri
Hahaa mazoezi ya kutembea ni mazuri zaidi
No. 41. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.
Unaweza kuongezea na wewe...
Nilikumiss tuuh mkuuMbona To yeye tena ?
Tatizo mnabadili majina tunashindwa hata wachangamkiaNilikumiss tuuh mkuu
Uje walao utoe neno
Kama Lucas mwashambwa, MK254, na wa namna hiyo ni graduates no wonder huko ni majalalani
Labda kwa kuongeza hatujui kama umetahiriwa ama u govi wewe🙂1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.
Unaweza kuongezea na wewe...
Mimi mpaka leo bado ni visitor, nikijiunga mtaniona.1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.
Unaweza kuongezea na wewe...
KabisaUkijua itakusaidia nini
Mara nyingi nikienda Bar huwa nakunywa huku nachat.Vipi wewe JF unaitumiaga sana ukiwa wapi
Uzuri umetumia wengi.1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.
Unaweza kuongezea na wewe...
Ngoja nihakiki kwani, [emoji23][emoji23][emoji23]Unaangukia namba ngapi au zote umo
Wew mbona una magari, una hotel pia wewe nakumbuka juzi ulikuja kudeposit bank milion100 ukisindikizwa na walinzi[emoji28], nasikia saiv upo likizo marekan,[emoji28][emoji28]Wote wana majumba na magari, kasoro mimi[emoji3]