Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

Mkuu ww id yako nyingine ni ipi?
Ukiachana na hii..
 
All in all
du Kuna maisha magumu na misoto ila thanks Lord we still alive & breathing...

Niliuza smartphone miaka kumi iliyo pita ikawa issue kununua mpyaa 😊😊 so ukiona mtu yumo humu ana bang!! Usimchukulie powaa mzee...

Smartphone+bando na other factors kama time +majukumu watu wanajitoa Kwa kweli..

Kila lakheli Jf members
 
Wengi ni introverts nje ya hapa JF ni wapole kama pono.
 

1. Nina ID moja tu

2. Nilikuwa natembelea Jambo Forums kusikiliza ngoma za zilipendwa na mizoki ya kibongo wakati wa upweke wa home huko ughaibuni, mwishoni nikawa member

3. Jukwaa la Siasa ndio linaongoza kuwa na wadau wenye akili finyu, wanawaza CCM na Chadema tu muda wote na kutoleana lugha za kejeli, ni nadra kukutana na kauli mbovu mbovu jukwaa la tech, intelligence, biashara na uchumi

4. Maisha ya JF ni ya JF na nje ya JF kuna maisha mengine, hapa ni kama big brother house hivi...

5. As long as tunatumia ID ambazo sio halisi, huo ni uongo nambari moja isipokuwa kwa wale ambao ni verified...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…