Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

Wengi mliocomment humu ni watoto.

Wakubwa kiumri ila kiakili ni watoto.
 
No. 4
Mpaka umpate member wa Jf anaechat hadharani, basi utakuwa na bahati.
Sijui tunajifuchaga wapi
 
Labda kwa kuongeza hatujui kama umetahiriwa ama u govi wewe🙂
 
Mimi mpaka leo bado ni visitor, nikijiunga mtaniona.
 
Uzuri umetumia wengi.
1. Ninayo moja.
2. Ni kweli.
3. Ni kweli, siasa zinachefua, mahusiano yanahuisha.
4. Siku hizi hata nikiwa public sijifichi, nachat kama kawaida.
5. Ni kweli, tunadanganya kama nyoka/shetani tu.
 
Mara nyingi nikienda Bar huwa nakunywa huku nachat.
Sema nikiwa public kama hvo, nakuwa kama visiter.
Itokee sana nikaingia kwa username yangu.
Kumbe basi uko safe labda watu wako wakaribu ndo inaweza kutokea wakakufahamu
 
Wote wana majumba na magari, kasoro mimi[emoji3]
Wew mbona una magari, una hotel pia wewe nakumbuka juzi ulikuja kudeposit bank milion100 ukisindikizwa na walinzi[emoji28], nasikia saiv upo likizo marekan,[emoji28][emoji28]

JF kila mtu tajiri anaendesha gari kali cc3000+ european models, kila mtu kaoa/kaolewa anasomesha watoto English medium, kila mtu kasoma masters UDSM+USA, kila mtu anaishi dasilamu, alafu kila mtu ana aifoni fiftini[emoji28].

Mimi sipo ktk hayo makundi hata ID hii tu moja inanishinda ku-Run
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…