Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

[emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli, mbona had uzi ulianzishwa, au hukuona?
Sikuona kumbe sio mm tu nileye notice kitu hicho, nikuulize unatumia dk ngapi ukiwa kwenye kioo
 
Hayo maisha sijafikia hata robo😀😀 nipo na nanii yangu tu sina kingine nnachomiliki😀😀
 
Kuhusu mimi uliyoyataja yote yapo sawa isipokuwa namba 2[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi kuhusu wewe?member wengi humu wanataraji,kuishi pema,hata baada ya maisha kwani ni wakweli sana na wachapa kazi kwa ajili ya taifa lao,mimi sijui aliye mwongo humu labda mmoja tu wa jukwaa la siasa/sii hasaa🤣
 
5 mie hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…