Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Pole mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema kinachouma ni kuuziwa sh 700 maji ya sh 50.
Mungu anawaona ...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema kinachouma ni kuuziwa sh 700 maji ya sh 50.
Mungu anawaona ...!
Maji ya kopo au ya chupa au kandoro? Binafsi sijawahi kuona maji ya kopo hapa Dar.Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
Ahsante aiseePole mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
Dew drop nimefika hata mahali ya napotoka ni meji ya chini ,wamechimmba chini ,sio mto ,yanatoka sumbawanga mjini sehemu unaitwa kiziwite ni kampuni ya tawaqal yako poa sanaaDew drops Maji yao matamu sana lakini naona hawajajipanga kiuzalishaji na usambazaji.
Wabongo wengine kwenye operations ni shida...
Ujanja ujanja kuhusu biashara hususan ya vyakula Dar ni mwingi.Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
Hapana, kopo ni la bati labda tu kama kiswahili kimebadilishwa.Chupa na kopo ni tofauti ,chupa ni ile ya glasi kama vile Serengeti ,coca au Pepsi ile ni chupa ! Plastic ndio kopo ,
Viwanda vingi vipo uswazi ,yaani Tandale ndani ndani ,keko Mwanga, Mbagala na Manzese.Mwaka 2008 hapo K/koo ,kuna sehemu niliwakuta jamaa wanayaweka kwenye makopo hayo maji .Aisee nilishtuka sana.
Hawa mtambo wao uko jikoni ni mdogo sana unatumia phezi moja ya umeme.Dew drops Maji yao matamu sana lakini naona hawajajipanga kiuzalishaji na usambazaji.
Wabongo wengine kwenye operations ni shida.
Huenda kuna tatizo la management na marketing kwa ujumla.
Wameshindwa ku meet demand kwa wakati .
Kila ukienda shoppers super markets hakuna Maji yao,
Shoppers wanasema wanakuwa wameagizia lakini hataki kwa wakati.
Mungu awape nini?
Kukubalika sokoni ni Neema lakini mnaochezea?
Watu wata Shift in demand wa kusubiri na kuchoka.
Mna matatizo gani?
Si muongeze mitambo ya uzalishaji?
Ongezeni capacity of production muweze ku meet demand kwa wakati.
Bila ku compromise na quality.
Zamani ilikuwepo security seal ambayo ilizuia mambo ya fodgery....wizara ys mazingira wakapiga marufuku....kisa ati ni kuchafua mazingira...!Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo.
Wanaweka package na vifuniko wanayatia kwenye friji na kuwauzia wateja kama maji orijino. kwa kuwa yanakuwa baridi sana huwezi kugundua chochote. Hao wamana wanaofanya kazi hapo na mazingira ya eneo ni machafu kupindukia, makopo hayaoshwi na wanayaokota majalalani na kwenye mitaro michafu.
Makopo mengine yanakuwa na mikojo wao hawajali hilo wanachojali ni kupata pesa. Hii ni hatari sana!
Maji haya tunawanywesha watoto na wagonjwa. Ndiyo sababu magonjwa ya kuhara haishi hapa mjini. Jeshi la polisi na wenye viwanda jaribuni kubuni namna nyingine na kufanya misako kwa wenye hizi biashara. Wanatuua bila huruma.
Ni Dalili za maisha magumu ya wananchi. Serikali na Afya njooni huku.Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo.
Wanaweka package na vifuniko wanayatia kwenye friji na kuwauzia wateja kama maji orijino. kwa kuwa yanakuwa baridi sana huwezi kugundua chochote. Hao wamana wanaofanya kazi hapo na mazingira ya eneo ni machafu kupindukia, makopo hayaoshwi na wanayaokota majalalani na kwenye mitaro michafu.
Makopo mengine yanakuwa na mikojo wao hawajali hilo wanachojali ni kupata pesa. Hii ni hatari sana!
Maji haya tunawanywesha watoto na wagonjwa. Ndiyo sababu magonjwa ya kuhara haishi hapa mjini. Jeshi la polisi na wenye viwanda jaribuni kubuni namna nyingine na kufanya misako kwa wenye hizi biashara. Wanatuua bila huruma.
Mbona vitumbua na chapati unakula, supu ya utumbo unajua inavyotengenezwa, wewe kula mengine tuachie sisi jikoni.Dar unaweza kujikuta umenyweshwa Kinyesi, hilo ni Jiji la Kuogofya sana hilo.
Ni hatari mnoo kwa sababu hata hayachemshwiUjanja ujanja kuhusu biashara hususan ya vyakula Dar ni mwingi.
Sio tu maji hata kwa hawa mama ntilie au wauza chipsi waweza uziwa kuku vibudu na sekela moja safi sana we hujui ama wali wa juzi umechanganywa na mchele wa leo.
Hadi mboga za majani mtihani vile vile umwagiliaji wake ni uchafu mtupu.
Ila viwanda vizuri vya maji vipo mathalan AFYA ya watercom limited Kigamboni,maji yao ni Kisima cha mwamba kimetobolewa yako poa fresh kabisa .
Mbona huji na Chakula chako na Choo chako?Dar es salaam ni sehemu nzuri kibiashara lakini ni PACHAFU SANA. Kuna uchafu wa kila aina kuanzia kwenye vyakula, vinywaji na hata mazingira kwa ujumla
Kunanuka shombo kule ferry, chemba za vyoo vinavyofunguliwa hasa nyakati za mvua, majalala yenye miozo kila kona
Hilo jiji ni chafu mno, haishangaza kuuziwa maji machafu
Nikiwa Dsm kwa siku kadhaa huwa nakuja na carton ya maji ya Kilimanjaro nayouziwa 4500 tu kwa jumla ya 1.5 ltr kwa chupa 6
Dsm hovyo sana