Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Simple tu nilimnyima ugali,nilimpa kama wiki mbili kuwa atafute pa kwenda kula hapa kwangu awe anakuja kupiga story tu na kusalimia.Ulifanyaje mkuu
Dogo akafikiria masihara,zilivyopita wiki mbili nikaongeza siku kama tatu nne hivi.Siku ya siku ilivyofika nikachukua tu mabegi yake nikayatoa nje,tena ilikuwa jioni.Nikaenda zangu kulala.Shemu akaenda Kwa sister yake (Wife) kuwa anibembeleze nimhifadhi Kwa muda.Nikakubali kuwa kesho aondoke.Dogo kesho yake akaenda kujihifadhi Kwa Shangazi yangu mimi,kule Kwa Shangazi akaona aibu alikaa wiki moja tu akatafuta kazi nyingine na akasimama mwenyewe na mpaka Leo Huwa ananambia Bila Mie kumkomalia angekuwa kapotea.
Mnyime tu ugali