Sasa nisikusaidie kuelezea jambo lako! Bhebhe nang’o😆Lekaga ubulomolomo shi mwanike
Dahh kwa umakini wetu itahitajika mbinu ya kijasusi😅
What is ignirant?
Makaka zangu wote wameoa sijaona mwenye hizo pigo sio siri! Najua tu mtu anaamua mwenyewe kubadili namba anaanza maisha mapya ila sio bila sababu tu!Huwa tunafanya hivo wasukuma sijajua makabila mengine
What is ignirant?
Kumbe wapoje?Hakuna mbinu yeyote, ni namna tuu ya uchaguzi! Wanawake hawapo sawa, kwa mafikilio, kutenda, kuwaza na mtazamo wao.
Hata wanawake wenyewe huwa wanafikiro wapo sawa wote! Kumbe hamna! 😁
Nipo upande wa awareness..Google wanasema "lacking knowledge, education or awareness".
Wewe unasemaje? 😁
Nadhani mwisho kiunoni.😁Ulitaka wakupande wapi😁
Humu Kuna vitukoAmeanzisha uzi huko wameshindwana na singo maza wake kwahiyo anaomba ushauri jinsi ya kmumuacha bila kumuumiza! Hapo anawahi nafasi waja mkachangie mada yake kwanza😁
Kumbe wapoje?
Kumcontrol mwanamke huwa inaanzia hapo wengine huenda mbali zaidi kwa kumpoka simu ili aishi kama chizi fulani hivi asubuhi kukicha ni zizini kukamua maziwa akitoka hapo maji baadae kwenda kuteka maji ya kunywesha ng'ombe 50 akitoka hapo jeuri kwishaMakaka zangu wote wameoa sijaona mwenye hizo pigo sio siri! Najua tu mtu anaamua mwenyewe kubadili namba anaanza maisha mapya ila sio bila sababu tu!
Nipo upande wa awareness..
Mi nitaishia mabegani😆Nadhani mwisho kiunoni.😁
Utake tu mwenyewe kunununa😆Humu Kuna vituko
Uje utupe hili somo natamani sana kujua kwa undani!Wanawake hawapo sawa, japo wana vitu wanashare/shabihiana.
Sifanyi huo usenge aisee!Kumcontrol mwanamke huwa inaanzia hapo wengine huenda mbali zaidi kwa kumpoka simu ili aishi kama chizi fulani hivi asubuhi kukicha ni zizini kukamua maziwa akitoka hapo maji baadae kwenda kuteka maji ya kunywesha ng'ombe 50 akitoka hapo jeuri kwisha
Si ndio wale mnaburuta tu huko nje!Mwanamke asie na "awareness" anakuwaje?
Afadhali hiyo!Mi nitaishia mabegani😆
Uje utupe hili somo natamani sana kujua kwa undani!
Si ndio wale mnaburuta tu huko nje!