Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Kwa inavyoonekana wanaume mapenzi yana wabagaza sana ๐Ÿ˜ข

Pole jaribu village girl
Sisi tunaotumia VPN tutawanyoosha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wafundishe wanaume wenzio waache kulia lia๐Ÿ˜
Muda hautoshi..shida ni kuwa Wanaume baadhi wanatuangusha sana.Kuna kazi kubwa..wao vikao vya wanakimbilia kutafuta hela hela..si nyakati zote mahusiano yanataka hela ni akili ndogo ndogo sana na hela ikitumika vyema huwa ni deadly weapon.
 
Usiwasanua waache wanyooshwe shenzii
 
Sasa ukiwa hivyo utaishia kupigwa na kulipwa mwanaume hua anavumilia mwanzo tu pakianza kuchangamka daah halafu umenikumbusha
Kupigwa na kulipwa una maana gani? Kwamba nauza uke au vipi?
Hahaha sasa mtu asichat na crash?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ