Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

napenda
Nikupe hongera zako wanawake kama wewe ndio mnapaswa kusherehwkea siku ya wanawake duniani
 
Hao ambao sio wrong people nawapataje?
 
Mistake nliyoiona hapo ni kwamba hau_play your role kwanza kama ni mdada kw nini usiombe hela?? Wewe omba tu mpenz wako kama hana atababaisha asipokupa pia tulia usimiss behave. Pili angalia selection ya hao guys, nahisi kama sio wadogo kwako basi kuna shida hapo kati maana a real gentleman hategemei hela ya mwanamke, sana tnahtaji mchango wa mawazo, huduma za kutuliwaza na vitendo vya kutupa furaha ili tupate mori ya kusaka mkwanja.
 
Hivi kumpa mwanamke hela nyingi ndo kuonesha kuweza kummiliki?
 
Kama usemayo Ni kweli,

Basi kama taifa Kuna mahali tumefeli,
Hizi sera zetu zinazohusu vijana na mahusiano zirejerewe upya

Tunakoelekea,
Tunatengeneza taifa la vijana wa ovyo
 
Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nyota ya utoaji.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…