Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Eeehh hata Mimi kwa kweli hapana siwezi kuwa mwanaume ninae omba omba tu kwa Mwanamke ni kujivua nguo na utu , Mwanamke ukila hela yake pasipo kusaidiana wote kwa pamoja lazima ipo siku hiyo pesa itakutokea puani
 
Atlest iwe scenario ya namna hiyo but ynakuta mtu hajawah kukusaidia, badala yake ww ndo umsaidie, yangu mm nitofautinna yako.

Sijajua ,but yawezekana wanaume wanapenda mtu wakuwa anamuomba mahitaji yake, sipoomba unaonekana unajiweza mpaka unaombwa pesa
 
Kuna shida gani mtu akikuomba pesa? Jibu sina kama huna, kama unayo we mpe tu, seems yore destined to be rich, kwa nini mtu akikuomba umsaidie unahisi kama ni mkosi vile?

Kwenye kuombwa kuna majibu mawili tu, ninayo au sina! Tatizo huenda kuna namna umejiweka akikuomba unajishaua kumpa, kutoonekana huna.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Mimi ni me wee nyau Anyway , Tuachane na hayo

Let's get back to the topic ,it seems itakuwa nimtu wa Bata kiasi pia maeneo unayo jichanganya Yana vijana wengi wenye mitazamo ya kuhudumiwa na wanawake , Anza kuepuka Mazingira yanayo pelekea kukuingiza ktk hayo majanga , Mwanaume wa kweli hawezi kuwa proud na kumuomba pesa mwanamke mpaka iwe ameshawahi kujitoa kwa Mwanamke huyo kwa kiwango. Fulani ,
 
Yeah wanaume acheni kuomba hela inatia aibu Sana wengine wanaomba hadi zawadi[emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwenye zawadi sioni tatizo hapo , ukiwa na mwenza wako Ambaye ana hobby ya kupeana peana zawadi ni Jambo la kawaida honestly huwa inaboa Sana kuwa wewe ndiye mtoa zawadi tu , pasipo kupokea zawadi kwa mwenza , turudi ktk masuala ya hela ya hela --- kama unajiweza Kuliko bf wako , wewe mpe tu hela kwani kitu gani bhanaaa [emoji1][emoji1][emoji1]

Lakini isiwe ile ya kumpa mpa tu pesa awe anatumia tumia tu hovyo halafu na yeye Anaona sawa huyo atakuwa hafai mkimbie haraka , na Umsome tabia yake pia nimtu wa namna gani !? Yaani inapotokea ukampa pesa anaichukuliaje hiyo je anakuwa proud au huwa anajisikia Inferior Kama ana kuwa Yuko proud huyo hakufai , Mwanaume hapaswi kuwa proud kupewa pesa na mwanamke Ila inapotokea amekwama there's no way out anapaswa kukunaliana tu na Hali ,

Maisha kusaidiana lol na hayana formula
 
So bottom line ni kuwa unatoa, mazingira ya kutoa tu ndio yanatofautiana.

Mwanaume anakupa hela kila ukitaka, akikuomba siku kakwama unaachaje kumtoa, huo ni ubinafsi wa kwenda.
 
Una bahati sana mkuu, wewe sasa umefikia lile fungu la wachache la haki sawa kwa wote.
Wewe na Shishi mko kundi moja.
 
So bottom line ni kuwa unatoa, mazingira ya kutoa tu ndio yanatofautiana.

Mwanaume anakupa hela kila ukitaka, akikuomba siku kakwama unaachaje kumtoa, huo ni ubinafsi wa kwenda.
Amesha kubali kuwa huwa anatoa [emoji1][emoji1][emoji1]

Katika mazingira hayo if ingetokea Mimi ndiye bf wake then hataki kutoa support hata kidogo wakati Mimi huwa ninampa aisee siwezi kuwa nae Bora tumwagane
 
Una bahati sana mkuu, wewe sasa umefikia lile fungu la wachache la haki sawa kwa wote.
Wewe na Shishi mko kundi moja.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwamba yeye na shishi wapo sawa ,!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kusaidiana ni sahihi kabisa ila Kuna ambao hawajui kutoa zawadi na wanaomba [emoji85]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwamba yeye na shishi wapo sawa ,!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
Kabisa mkuu wanawake wakiwezeshwa wanaweza usawa usiishie kwenye nafasi za uongozi tu.
 
Kuombwa pesa inakuumiza na kujiona una mkosi/shida gani…!!

Basi ndo mjue venye huwa tunajisikia hata kama tunawapea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…