Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Umri wako tafadhli
 
Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
Malovee naomba nirushie buku ten nikapate K Vant moja.... puliiiiz
 
Kwani Kasema kashadeti na wangapi?
 
kikubwa usiwe na ukimwi Mana utakua umehalalisha vifo kwa wezako
 
Wakati niko chuo nilidate mwanafunzi mwenzangu so siku bby hana hela nilikua nalipia.
Hata sasa hivi uzeeni naweza kulipia nikitaka kumspoil bby
So, bottom line ni unatoa...iwe moja kwa moja au indirectly ni unatoa tu! Ukiwa na mtu kutoa hakukwepeki, mengine ni maneno yenu tu, japo yanasaidia kutufanya tusibweteke kama wanaume.
 
Ok! Kuna kitu utakuwa unakikosea katika hizo relation zako, huenda katika story zako utakuwa ni mtu unaejionyesha kuwa unazo sana au unajua sana kuzitafuta! Hili ni kosa ambalo hata mwanaume akilifanya ni lazima achunwe!
Mimi siyo mtu wa kujisifia but huwenda nikaJiona Niko perfect sijisifii kumbe mtu ananiona najisifia
 
Weeeeeee wachaaaa kabisa........
 
Hapana Hilo nalipinga, marioo anadet e na tajiri mm nisgakwambia si tajir ninamaisha ya kawaida kabisaa
Maybe labda muonekano wako una attract Mario zaidi........ au history yako ya mahusiano kuna Mario ulidate nae so wanaambiana "kitonga hicho...........".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…