Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.
Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.
Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu