Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

Na nunua kitu kulingana nachofanya kwenye matumizi.nitanunua kitu sababu ni pesa embu toa ujinga basi.mda mwengine ID zinaficha mengi.

Wewe unaenda kununua TV nch 100 ukagundue nini kisa umepata pesa au pesa zako zina kusumbua.

Una nunua laptop Game wakati sio mtumiaji wa Game inakusaidia nini?.

Ulishawai kununua trekta ukatembelea mjini au umeona simu na laptop viko sawa kimatumizi
Pole hauna hela! Tafuta acha wivu
 
Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.

Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.

Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
Wajeremani nadhani wana huu msemo: How you do one thing, is how you do everything. Huu ni mwendelezo wa utafiti;Ukijiangalia mwili wako, ni 1. mwili mkubwa au ni 2. kadogodogo?

Je tatizo lipi unahisi linaweza kukukabili ukapambana nalo maishani ukiamua 1. Kuongeza uzito 2. Kupunguza uzito?
Guess yangu ni namba mbili, kaka shetani ee tunaomba utupatie uhakika bro. Ni kwelii?
 
Sawa u
Hakuna kitu roho inatulia kama uko na gari inauwezo wankukimbia 260km/h halafu unaendesha 60km/h,unapitwa na mwenye 180km/h unaona cha aende nikitaka nampita tu shwaaaaa.

Sio una kagari ka 120km/h unapitwa na wa 180km/h na uwezo wa kununua 240km/h unao.

Nina simu hapa ina 256gb storage hata robo sijajaza mwaka sasa,lakini sisiti kuweka vitu maana najua haijai kizembe.
SAwa unakuwa na kabonus kadogo kama dharula. Lakini sio kuzidiiiiiiiisha wakati kitu huwezi kutumia. Kama labda hiyo amia mbili naa mia tatu yenyewe utakimbilia wapi!?

Mfano kwenye gari, uchukue zile spidi za race cars kina bughati sijui 500 huko labda ndicho anachoongelea mtoa mada. Ni ujinga tu hautakaa udikishe spidi mia tano sasa ya nini kuilipia??
 
Hii sio hapa tu kwetu bali mentality iliyotutawala Dunia nzima......

Hii ipo mpaka kwenye ujenzi...mtu anajenga nyumba mpaka anamaliza mwaka kuna baadhi ya vyumba hajawahi kuingia.....unakuta nyumba imejaa makorokoro kibao......
 
Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.

Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.

Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
Jipangie matumizi yako na familia yako
 
Hapa shida iko kwa mtoa mada, ukiwa hauna hela utaona kama watu wanachezea pesa vile.

Siku ukiwa na pesa utajikuta hauna makasiriko, na utaona ni vitu vidogo sana hivi.

Umetolea mfano mtu kununua bugati ya speed 500 wakati hautafikisha hio speed

Nani kakwambia kila mtu anaangalia speed, mtu ananunua vitu kwa sababu lukuki kama status, luxury, comfort, design and style.
 
Pesa tunazo na unanua kulingana na unachofanyia.nini nunue kitu ambacho sina matumizi nacho.
Mbona kwenye magari tunaweza.basi magari yangekuwa simu usingeongea haya.
Ulishanunua trekta kwa ajili ya kutembelea
 
Mtu Anajinunulia landcruiser sababu anaipenda na inadumu

We unalalamika ooh ananunuaje landcruiser mjini dar wakati haendi porini.

We tulia na passo yako hapo wacha watu watumie pesa vile wanataka
 
Mtu Anajinunulia landcruiser sababu anaipenda na inadumu

We unalalamika ooh ananunuaje landcruiser mjini dar wakati haendi porini.

We tulia na passo yako hapo wacha watu watumie pesa vile wanataka
Sio anapenda futa kauli sababu inamatumizi fulani.nunu passo ukalimie kama unaipenda
 
Pesa tunazo na unanua kulingana na unachofanyia.nini nunue kitu ambacho sina matumizi nacho.
Mbona kwenye magari tunaweza.basi magari yangekuwa simu usingeongea haya.
Ulishanunua trekta kwa ajili ya kutembelea

Basi waache wanaonunua vitu wanavyotaka na wewe nunua vyako mbona simple tu
 
Sio anapenda futa kauli sababu inamatumizi fulani.nunu passo ukalimie kama unaipenda

Sio kila mtu ananunua gari sababu ya matumizi

Nimekwambia mtu ananunua sababu hizi
- anaipenda
-matumizi
-status
-luxury
- performance

Sasa we umekomalia point moja tu ya matumizi.

Mimo gari yangu ina speed 260. Sikununua sababu ya hio speed, nlinunua sababu inanipa comfort, status na performance

Sasa wewe ukianza kuuliza unanunuaje ya speed 260 wakati hauwezi fikisha hapo ndo nakuona unazingua maana una ignore factors nyingine.
 
Mfano wachimbaji wadogo kila mtu ananunua kluger kwa ajili ya kufika porini.kwani pesa unafikiri hawana kuwa na magari makubwa .wanayo ila kutokana na uwezo wake wakutengenezeka wamependa hivo.
Hapo mtasema huna pesa wivu
 
Ulishajenga nyumba ya vyumba kumi sababu ni pesa au kwa ajili ya nini?.
Jibu ni matumizi yake,mda mwengine vitu vidogo mchukulie mifano mikubwa

Kaangalie matajiri wanajenga vyumba vingapi

Sio lazima kila chumba utumie, mtu mwingine anajenga nyumba kubwa au ya ghorofa sababu anaipenda ramani na ana pesa ya kujengea nyumba hio.

Me siwez jenga nyumba ya chumba kimoja nisioipenda eti kisa vyumba vingine sitalala
 
Mfano wachimbaji wadogo kila mtu ananunua kluger kwa ajili ya kufika porini.kwani pesa unafikiri hawana kuwa na magari makubwa .wanayo ila kutokana na uwezo wake wakutengenezeka wamependa hivo.
Hapo mtasema huna pesa wivu

Huyo kanunua kluger sababu ya factor moja “kufika porini” kuna mwingine atanunua v8 kwa sababu anataka kufika porini kwa starehe

Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom