Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Unaweza kununua fuso kwa ajili ya kutembelea sababu unapesa ?. Tuanzie hapoKila mtu afanye anachopenda na kuuridhisha moyo wake.
TAHADHARI
Pesa kila mtu anatafuta kwa jasho na ugumu anaoujua yeye,hivyo usimpangie mtu matumizi ya pesa yake.
Kama mtu huyo havunji sheria za nchi Acha afanye anavyotaka.
Simu kubwa hafu unaishiq kichat na googleIli jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.
Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.
Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
Daaah aya bana ...ila ndo ukwelIli jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.
Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.
Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
sio unaweza wapo watu wa hivi.Unaweza kununua fuso kwa ajili ya kutembelea sababu unapesa ?. Tuanzie hapo
Huna tofauti na mtu mwenye itel56 mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuambie ya kawaida tununue ipi. Mimi nina Samsung A72. Matumizi ya kawaida Kusoma habari kwenye mitandao, kupiga picha binafsi, kupiga na kupokea simu.Je nimechemsha?
Siku ukipata hela hii thread yko ni nonsense! Mtoa mada tafuta hela utaacha makasiriko
Na nunua kitu kulingana nachofanya kwenye matumizi.nitanunua kitu sababu ni pesa embu toa ujinga basi.mda mwengine ID zinaficha mengi.Siku ukipata hela hii thread yko ni nonsense! Mtoa mada tafuta hela utaacha makasiriko