Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Pole hauna hela! Tafuta acha wivuNa nunua kitu kulingana nachofanya kwenye matumizi.nitanunua kitu sababu ni pesa embu toa ujinga basi.mda mwengine ID zinaficha mengi.
Wewe unaenda kununua TV nch 100 ukagundue nini kisa umepata pesa au pesa zako zina kusumbua.
Una nunua laptop Game wakati sio mtumiaji wa Game inakusaidia nini?.
Ulishawai kununua trekta ukatembelea mjini au umeona simu na laptop viko sawa kimatumizi
We usiyekuwa na wivu una kipi zaidi tecno au infinixPole hauna hela! Tafuta acha wivu
Eti tecno na infinix 😃 😀We usiyekuwa na wivu una kipi zaidi tecno au infinix
We usiyekuwa na wivu una kipi zaidi tecno au infinix
Wajeremani nadhani wana huu msemo: How you do one thing, is how you do everything. Huu ni mwendelezo wa utafiti;Ukijiangalia mwili wako, ni 1. mwili mkubwa au ni 2. kadogodogo?Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.
Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.
Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
SAwa unakuwa na kabonus kadogo kama dharula. Lakini sio kuzidiiiiiiiisha wakati kitu huwezi kutumia. Kama labda hiyo amia mbili naa mia tatu yenyewe utakimbilia wapi!?Hakuna kitu roho inatulia kama uko na gari inauwezo wankukimbia 260km/h halafu unaendesha 60km/h,unapitwa na mwenye 180km/h unaona cha aende nikitaka nampita tu shwaaaaa.
Sio una kagari ka 120km/h unapitwa na wa 180km/h na uwezo wa kununua 240km/h unao.
Nina simu hapa ina 256gb storage hata robo sijajaza mwaka sasa,lakini sisiti kuweka vitu maana najua haijai kizembe.
Jipangie matumizi yako na familia yakoIli jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.
Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.
Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
Ndio uwezo wake hajapangiwa na mtu kama unavyotakaWe usiyekuwa na wivu una kipi zaidi tecno au infinix
Pesa tunazo na unanua kulingana na unachofanyia.nini nunue kitu ambacho sina matumizi nacho.Hapa shida iko kwa mtoa mada, ukiwa hauna hela utaona kama watu wanachezea pesa vile.
Siku ukiwa na pesa utajikuta hauna makasiriko, na utaona ni vitu vidogo sana hivi.
Umetolea mfano mtu kununua bugati ya speed 500 wakati hautafikisha hio speed
Nani kakwambia kila mtu anaangalia speed, mtu ananunua vitu kwa sababu lukuki kama status, luxury, comfort, design and style.
Sio anapenda futa kauli sababu inamatumizi fulani.nunu passo ukalimie kama unaipendaMtu Anajinunulia landcruiser sababu anaipenda na inadumu
We unalalamika ooh ananunuaje landcruiser mjini dar wakati haendi porini.
We tulia na passo yako hapo wacha watu watumie pesa vile wanataka
Pesa tunazo na unanua kulingana na unachofanyia.nini nunue kitu ambacho sina matumizi nacho.
Mbona kwenye magari tunaweza.basi magari yangekuwa simu usingeongea haya.
Ulishanunua trekta kwa ajili ya kutembelea
Ulishajenga nyumba ya vyumba kumi sababu ni pesa au kwa ajili ya nini?.Basi waache wanaonunua vitu wanavyotaka na wewe nunua vyako mbona simple tu
Sio anapenda futa kauli sababu inamatumizi fulani.nunu passo ukalimie kama unaipenda
Ulishajenga nyumba ya vyumba kumi sababu ni pesa au kwa ajili ya nini?.
Jibu ni matumizi yake,mda mwengine vitu vidogo mchukulie mifano mikubwa
Mfano wachimbaji wadogo kila mtu ananunua kluger kwa ajili ya kufika porini.kwani pesa unafikiri hawana kuwa na magari makubwa .wanayo ila kutokana na uwezo wake wakutengenezeka wamependa hivo.
Hapo mtasema huna pesa wivu