Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

Mara nyingi operations wanakuwa na kazi nzito kuliko management.

Hivyo mahitaji ya PC yanatofautiana.

Mtu kama CEO wa Apple haitaji Macbook yenye Ram ya 64gb ila mtu anaetengeneza codes na producta mbalimbali anahitaji macs zenye nguvu.
 
Kwahiyo mleta mada unaniambia nikinunua fuso la kunipeleka kazini na kunirudisha home nitakuwa nakosea
 
Umasikini tuu huo sipo kwenye kundi la kujadili matumizi ya Laptop,simu au magari unadhani wote wananunua bidhaa Kariakoo...Watu mna hela umasikini wa kufikiri hauwatoki

Serikali imeweka Laptop kama kitu cha starehe kumbe ni kitabu kile kinaelimisha ndio maana unaona tuanze kujadili mambo ya Laptop huko mimi nilishahama watoto wangu tuu nawapa Laptop nzuri maana hapa SA hazina kodi bei yake kwa Mpya madukani ni kama ya kiwandani kasoro zile za Game...ninunue vitu Johannesburg na kuuza Kariakoo harafu tena mimi niuzie miguu yote ya kushoto hicho kitu hakipo hapo pana Hp ipo Macro mpya na hiyo used ni Cash Crusaders..
 

Attachments

  • 20230212_140409.jpg
    394.2 KB · Views: 5
  • 20230214_124452.jpg
    416.8 KB · Views: 4
  • 20230212_140412.jpg
    538.3 KB · Views: 3
Umaskini wako ndio umeleta biashara hapa
 
sio unaweza wapo watu wa hivi.

kwa waliopo katavi kuna jamaa ana duka la spea za magari jirani sheli ya gbp maeneo ya kanisa la sabato anaitwa mwaipopo alikuwa anatembelea scania kabla ya kuacha na kununua gari ndogo

watu hawa wapo mkuu
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…