Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

Duh
 

Nilitaka niangalie nani kanijibu kwa kujiamini hivo, Nilipoona [mention]Mbwa dume [/mention] nikasema funika kombe mwanaharamu apite
 
Jamaa umevuruga nchi nzima hii
 
Dada msambaza msosi hoteleni analipwa 1000-2000 per day,kasuka rasta za 60k,kapendeza skin jins 20k,top 10k,lotion na manukakato ananukia only after being paid 1k/2k per day!
Kuna biashara kubwa ya ngono inaendeshwa na wamiliki wa migahawa barabarani,wateja ni madereva semi,hiace,bodaboda,bajaji,tipa za mawe na mchanga,wabeba cargo sokoni,madereva fuso wanaopeleka bidhaa sokoni na kwa uchache raia wa mtaani.
Bila kuchukua tahadhari ukimwi utaendelea kukatisha ndoto za raia wengi.
Kuwa na mpenzi mmoja,baki njia kuu,ukimwi upo....
 
Dah, umenitonesha kidonda😂, kuna demu tumezinguana ila moyoni bado nampenda balaa, ni wiki sasa tumekaushiana najiuliza kumuanza nitaonekana boya,😎 acha tu nijikaze.
 
Ndio maana ni bora hata kwa Machangudoa maana wao wapo makini sana na kinga...na hata ukorofi wanao hivyo ni vigumu 'Mteja" kumzidi maarifa maana mtiti wanauweza.
Jamaa una akili sana yaani ni bora machangu condom ni lazima mzee ata na wenyewe ndo wanakomalia kuliko mademu wa mtaani , mademu wa mtaani yaani ni hatari sana kama wewe mwenyewe hautokomalia condom, sema watu hawajui tu,
 
Ndio maana ni bora hata kwa Machangudoa maana wao wapo makini sana na kinga...na hata ukorofi wanao hivyo ni vigumu 'Mteja" kumzidi maarifa maana mtiti wanauweza.

Hakuna cha afazali mkuu!!! Muombe mungu lakini na sisi tuwe makini kwa hawa dada zetu...... mimi ndom sivai ila lazima nikupime!!!!! Na haijawai etu sijui nimezidiwa hiyo sinaga hutaki kupima bora nipite kushoto
 
Kuhusu kupata maambukizi usiweke 100% maana inawezekana alishapaya maambukizi au hakuna michubuko lwa siku hiyo na hakupata
 
That's is true brother..


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza ukajifanya unajiepusha sana na UKIMWI ukafa kwa ajali tukakufukia futi 6. Ukatuacha wenye UKIMWI tunakula raha za dunia tukidunda na ARV zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya ni maneno yakijinga yakujifariji!!! Juzi nilikuwa GYM sasa yule mwalimu wa gym kaletewa raba kali na kibunda hana........ ikabidi akope alafu akaanza kumwambia muuza viatu elfu20 haiwezi kujenga nyumba au elfu5 tule bata nyumba zipo tutaishi tuu......

Akasema takwimu za sensa zinasema nchi ina majengo milion14 na watu milioni 60 watu ni wengi kuliko majengo kwaiyo uwakika wakuishi upo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

nilicheka sana walahi nikasema huyu mungu akimpa umri wakuishi hapa duniani ataja kumbuka maneno yake yakijinga ndo yalimponza!!!! Sasa na wewe na huo mfano wako shauri yako kuwa makini mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…