Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

Kama mtu haamini habari za umeme(2112Megawatt) atembelee pale Port Bell, Uganda. Ndugu zetu watanzania waliokuwa mabaharia meli za Mv Umoja na wafanyabiashara wengi kuna sehemu walikuwa wanaenda panaitwa Wheel House.

Wale wakina na dada wauza utamu waliambukiza raia kibao. Wengi ndoto zao ziliishia njiani na wengine wameacha wategemezi. Wale wakina dada walikuwa wakiona mtanzania wanakutunuku bure au wanaomba uwape pesa yoyote ya Tanzania, na bar watanzania walikuwa wanapendwa kwa kutoa ofa.
 
Ila Uganda ni sehemu hatarishi sana kwenye starehe Kuna vipombe vya hovyo vingi vya bei ya sawa na Bure.
 
Tusitishane
 
Ukiwa mtumiaji wa dozi kikamilifu wanasema chance ya kumuambukiza mtu nayo hupungua sana.
 
Ndiyo unayajua haya leo? Mbona yalikuwepo tangu ukimwi ulipoingia na sasa ni kama yanamalizikia?
 
Kwa hiyo wewe huwa hutafuni hizo mbususu mkiwa safarini?
 
Hahaaa dah! Wewe ndio komandoo wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…