Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishatoka kifungoni naona umekuja tena kuwatafuta mahasim zako hahaha.Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,
mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah
Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf
Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)
Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)
Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....
Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....
Pm is my new home.........and im there to stay
Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
Na mimi nasema kuanzia leo nahamia PM rasmi.Ukiona manyonya....
Ujue keshaliwa huyoooo.
We mambembe kwanini usiwapotezee tu ...mbona unaumiza kichwa kwa vitu vya kipuuzi?Hahahaha sawaaa bwana
Mafumbo ya nn mtoto wa kiume ??naonaa unahangaikaa sana kusema yaliyo ya moyoni be you and do you ....and reserve ur comment kwenye nyuzi zingine instead of htiing around the bushJF where we dare to talk openly
Time is the best teacher, lets wait........
Nalog OFF
Wala hata sio fumbo...it is just a commentMafumbo ya nn mtoto wa kiume ??naonaa unahangaikaa sana kusema yaliyo ya moyoni be you and do you ....and reserve ur comment kwenye nyuzi zingine instead of htiing around the bush
Wacha weNamm nikuambie ,JF inawadada wazuriiiiiiii hawajulikan ila wataaaaaaaaaamu .
Yn12 kila mdundo mmoja wa moyo wangu unanikumbusha uwepo wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha yetu halisi nje ya JFView attachment 723758
Kaka upo?JF where we dare to talk openly
Time is the best teacher, lets wait........
Nalog OFF
Maisha yetu halisi nje ya JFView attachment 723758