Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Always kila mwanaume anavyomfwata mwanamke lazima aonyeshe kujielewa, kupenda na attention ya hali ya juu..
Hadi unaweza kujiona unapendwa peke ako duniani ila ukishaonesha tu papuchi biashara imeisha...

Akili kumkichwa
 
Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,

mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah

Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf

Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)

Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)

Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....

Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....

Pm is my new home.........and im there to stay

Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
Ulishatoka kifungoni naona umekuja tena kuwatafuta mahasim zako hahaha.
 
Hahahaha sawaaa bwana
We mambembe kwanini usiwapotezee tu ...mbona unaumiza kichwa kwa vitu vya kipuuzi?
Nakufaham vyema umekuja kuwatafuta watu wako ila ingependeza ungekaa kimya.
Kumbuka kimya ni jibu la mjinga.
 
Maisha yetu halisi nje ya JF
29087466_209100363177621_91460645668519936_n.jpg
 
Mbona wewe hujieleweli??? Hili ligazeti uliloandika hapa ungeenda huko pm uwaandikie hao wazee wako
 
J.f raha.sana,,ukikosa jambo hapa usihangaike hata ku~google.
 
JF where we dare to talk openly

Time is the best teacher, lets wait........


Nalog OFF
Mafumbo ya nn mtoto wa kiume ??naonaa unahangaikaa sana kusema yaliyo ya moyoni be you and do you ....and reserve ur comment kwenye nyuzi zingine instead of htiing around the bush
 
Mafumbo ya nn mtoto wa kiume ??naonaa unahangaikaa sana kusema yaliyo ya moyoni be you and do you ....and reserve ur comment kwenye nyuzi zingine instead of htiing around the bush
Wala hata sio fumbo...it is just a comment
 
Wala hata sio fumbo...it is just a comment
Mbona kwenye nyuzi zingine huwa hucomment hivi??mi mwanaume anayezunguka zungukaa kwakweli huwa namvuaa thaman yake ......why usiwe ww ili uwe free??aaaagh kinda boring
 
Back
Top Bottom