David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.