Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana

duh, una waambia nini wanyetukaji ?
😁😁 kwa hizi raha, nyeto wachukue likizo ya bila malipo tu.. Gen z watu wabad sanaa, unasetiwa kiakili lazima uwe na nguvu za kiume
Screenshot_20260514-143944.png
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.
Sasa utalinganisha Objects of leisure for men na independent minds za wanawake wengine!
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.
Rabaika
 
Sio hilo tu, yapo mengine mengi mazuri ambayo yanapatikana kwenye uislamu tu.

Bado hujachelewa karibu kwenye njia sahihi ya kumuelekea Mwenyezi Mungu.
😆😆😆😆😆😆😆😆👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Mnamezeshwa mambo ya dini mpaka mnakuwa majinga !!!

Dini haifanyi mtu kuwa mwema ama mnyenyekevu !!!

Hii ni kitu ipo ndani yako tu .... ! Jambazi ni jambazi tu.... malaya ni malaya tu.... muongo ni muongo tu,,,tapeli ni tapeli tu!

Ustaarabu/unyenyekevu ni kitu umezaliwa nacho ndani yako...

Msijifichie kwenye mwavuli wa dini
Sio Kweli,

Dini inaweza kumfanya Mtu kuwa Mwema na Mnyenyekevu.

Wapo wengi wamekuwa wema na Wanyenyekevu baada ya kuamua kuifuata Dini, hata kama si wote.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.

Mkuu lengo la kuweka hiyo rangi kwenye maandishi yako ni wengine tupite kushoto bila kusoma?

Screenshot_20260515-073149_Samsung Browser.jpg
 
Sio Kweli,

Dini inaweza kumfanya Mtu kuwa Mwema na Mnyenyekevu.

Wapo wengi wamekuwa wema na Wanyenyekevu baada ya kuamua kuifuata Dini, hata kama si wote.
"Hata kama sio wote..".. Point ndio hiyo !
Kuna muda fisi anavaa ngozi ya kondoo !!!! Utu ni inborn ....
 
Back
Top Bottom