David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Sio hilo tu, yapo mengine mengi mazuri ambayo yanapatikana kwenye uislamu tu.Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.
Kule wanapanuana mawazo, huku tunapanuana miguu...π€£Wakati wenzetu wanaendelea kupanua mawazo wafanye nini juu ya teknolojia wengine tuko hapa kuchambua wanawake wauaji kwa kuzingatia diniπ€¦π½ββοΈ
Na mikunguπKule wanapanuana mawazo, huku tunapanuana miguu...π€£
Duuuh na yule aliemfukia yule jamaa kule Kivule baada ya kumpiga na kitu kizito kichwani kisha kumfunga kwenye begi na kwenda kumfukia mboni sio Mkristo?wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande
Maneno mengi vitendo kidogoNa mikunguπ
Muandiko wako unaumiza machoAsilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.
Hao watu kupika ni sifuri, kama wanajipikilishakwenye kupika kweli hamna kitu
nilidate naye mmoja aisee, mchuzi mimaji tele
aah sema kitandani alikuwa mtamu, 3+(-3) = 0Hao watu kupika ni sifuri, kama wanajipikilisha
ππ unapenda kula uishi au kitandani , hao watoto wa siku hizi sifa yao kuu kitandani na sio jikoniaah sema kitandani alikuwa mtamu, 3+(-3) = 0
napenda kula, aah kwanza tulisha achana vina muda basiππ unapenda kula uishi au kitandani , hao watoto wa siku hizi sifa yao kuu kitandani na sio jikoni
ππ akili yao huwa hii hawajui hata mda wa kuanzisha liginapenda kula, aah kwanza tulisha achana vina muda basi
Umeoa binti wa kiislam?Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote wanabamba wao neema marijani gunia la mkaa,ezenia kakatwa vipande vipande,nenda mahakama ya chang'ombe ndoa nyingi wanawake ndio wanapeleka mashauri ya kuvunja ndoa.
NB:nimesahau kwenye misosi hawa watu watengewe dunia yao uku kwingine tunachemshiwa michuzi tu.