Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana

Sasa utalinganisha Objects of leisure for men na independent minds za wanawake wengine!
 
Rabaika
 
Sio hilo tu, yapo mengine mengi mazuri ambayo yanapatikana kwenye uislamu tu.

Bado hujachelewa karibu kwenye njia sahihi ya kumuelekea Mwenyezi Mungu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Your browser is not able to display this video.
 
Wakati wenzetu wanaendelea kupanua mawazo wafanye nini juu ya teknolojia wengine tuko hapa kuchambua wanawake wauaji kwa kuzingatia diniπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
Hata hao pia wanajadili sana haya pia...in segments to tofauti.
 
Sio Kweli,

Dini inaweza kumfanya Mtu kuwa Mwema na Mnyenyekevu.

Wapo wengi wamekuwa wema na Wanyenyekevu baada ya kuamua kuifuata Dini, hata kama si wote.
 

Mkuu lengo la kuweka hiyo rangi kwenye maandishi yako ni wengine tupite kushoto bila kusoma?


 
Sio Kweli,

Dini inaweza kumfanya Mtu kuwa Mwema na Mnyenyekevu.

Wapo wengi wamekuwa wema na Wanyenyekevu baada ya kuamua kuifuata Dini, hata kama si wote.
"Hata kama sio wote..".. Point ndio hiyo !
Kuna muda fisi anavaa ngozi ya kondoo !!!! Utu ni inborn ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…