Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

Ipo! Op za siku hizi unachomwa sindano ya kuzuia alama ya mshono kuonekana
Dr Restart atanisaidia maelezo zaidi
Hii mention mbona haikufika?

Ndiyo, zipo njia mbili zilizothibitika kusaidia kuondoa ama kuondoa ukubwa na muonekano wa kovu baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji (C-section).

Njia ya kwanza ni ya Laser therapy ambayo hii ni italeta matokea mazuri sana endapo itafanyika ndani ya wiki nane baada ya kujifungua.

Njia ya pili ni hiyo ya sindano. Kitaalam ni Steroid injections. Hii mhusika huchomwa mara kadhaa kwenye kovu ili kupunguza tissue za kovu na kupanyoosha pawe flat.
 
Asante daktari!
 
Mnaishi wapi nyie. Kwenu chale ni kitu cha ajabu. Huku kwetu ni mbinu ya matibabu ya watu wengi tu. Hata mgongo ukiuma unatumia madawa ya kunywa yakishindwa kukutibu chale inafuata na mambo safi kabisa. Kwetu hata ukianguka na baiskeli ukatenguka mguu kuna dawa za kuchanja. Ukiogopa mtu mwenye chale inamaana umeogopa uchawi. Ukiogopa uchawi inamaana una imani haba na mungu wako. Ukiwa na imani haba na Mungu wako juu ya kukuokoa na adui yoyote bora ujiunge na Mungu wa huyo adui maana ndo ananguvu kuliko wako
 
Kwetu chale tunajua ulikuwa kwa mganga
 
Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.

Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.

Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.
Kweli
 
Hata viongozi?
Umeonaje?
 
Back
Top Bottom