Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.

Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.

Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.
Kwa hiyo vitoto vya 2000 asilimia 80 kanda ya ziwa umevikula? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom