kuberwa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 575
- 137
Kuwa specific, wanawake wa kisukuma! Huku kwingine ni kwa uchache sana!Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.
Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.