Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Ilikuaje mpaka ukaziona izo chale?Hiyo ni kweli kabisaaa! Nna best yangu ana chale km kibao cha kashata, hata mwanaume ampende vipi bado haamini mpk amroge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuaje mpaka ukaziona izo chale?Hiyo ni kweli kabisaaa! Nna best yangu ana chale km kibao cha kashata, hata mwanaume ampende vipi bado haamini mpk amroge
Hiyo ni power bankNilikuwa na demu wa kisukuma kwenye mahusiano sasa tukiwa kwenye tendo wakat wa kutomasa tomasa nahisi kitu kigumu mkononi mwake nilpomuhoji vizur akanieleza aliwekwa sindano ya chuma kwenye mkono na mganga mmoja huko Kigoma Ile sindano iko dizaini kama kijiti Cha uzazi wampango.
Akaniambia sindano hiyo imekaa miaka 9 mkononi siku nikaamua kumpeleka hospital ili kitolewe na kilipotolewa kilikuwa kina kutu kabisa yeye anadai aliwekewa kwa ajili ya kujikinga na watu wabaya.
Baada ya kumtoa hiyo sindano nilikaa naye mwezi tu nikamwacha maana sipend mwanamke anayejihusisha na ulinzi.
Kule Ni jadi yao Tena huwa tunawekwa kwenye jiwe na kuchanjwa na kugongeshewa mawe kwenye pande nne za duniaUnatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.
Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.
Nimepekua profile yako sijaona ukianzisha uzi wa maana zaidi ya ngonoSasa mkuu chale ina shida gani mbona ni tiba ya asili tu ya kawaida aise.
Kila ukanda una utamaduni wake jamani embu tutafute vitu vya maana vya kujadiliana maana ni vingi sana.
Kama Ni chai fanya KUNUNUA vitafunio😂😂😂😂Chai
Acha kunichafua mkuu si jambo jema kabisa. Ukweli humuweka mtu huru.Nimepekua profile yako sijaona ukianzisha uzi wa maana zaidi ya ngono
Makuzi Yao kutoka Kwa wazazi yenye kuambatana na tamaduni za kifamilia kwao ni kama ulinzi dhizi ya Imani za kishirikina ndio maana wanazo sio Kanda ya ziwa tuu hata maeneo mengine yapoUnatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.
Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.
kwaiyo tuseme wapo kimazingira zaidiUnatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.
Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.
Njiawengi niliokuta wana chale wa kusini na Tanga,,,,,,kanda ya ziwa najua wazee wanachanjiaga kwenye kivuli, hao labda wawe hawajakutana na wataalam wazuri,, kule ukikuta mtaalam anakuchanja kwenye kivuli chako hamna mtu anaeona alama kwenye mwili wako
Ni Mila na desturi Mkuu sio hiari na wamejengwa hivyo, na usisahau. Ni watamu sana kwenye show kaliUnatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila lao wala dini yao,.
Anayebisha ameamua tu kubisha au hajakichafua kwa mabinti wa kanda hiyo ila huo ndio ukweli.
Turudi tu kwenye mila zetuwengi niliokuta wana chale wa kusini na Tanga,,,,,,kanda ya ziwa najua wazee wanachanjiaga kwenye kivuli, hao labda wawe hawajakutana na wataalam wazuri,, kule ukikuta mtaalam anakuchanja kwenye kivuli chako hamna mtu anaeona alama kwenye mwili wako