Msuli wa mbu
Senior Member
- May 4, 2021
- 146
- 485
habari za ujenzi wa taifa?
Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini siku hizi huku mtaani imekuwa too much.
Binafsi haya tunayo yaona Sasa Ni matokeo ya sisi wazazi wa miaka hiyo kuanzia (75' Hadi 85') nazani tungeanza kujitathimini wenyewe pia katika malezi ya hawa watoto wetu ili tusizalishe jeneresheni nyingine huku mbele Kama watoto wa 2010, 2020 na kadha wa kadha.
Tujadiri: je? Watoto wa 2000 ni matokeo ya sisi wazazi wa miaka ya 1975 hadi 1985.