Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi cha hovyo kabisa!!!hayo ni matokeo ya Beijing 50/50 ndo yameleta hiki kizazi.
Basi tutegemee wengi kuolewa,na hii slogan yao ”Kataa Ndoa" hakuna atakaebaki salamaHichi kizazi cha 2000 ni kivivu sana ,hawataki kazi ngumu kabisa
Wanapenda kitonga wakike kwa wakiume ,ndio maana wakike wako na vibabu,,,wastaafu ,waume za watu nk. Na wakiume wako wengine wamechagua kuwa wanawake ,wengine wanapambana na mama zaoBasi tutegemee wengi kuolewa,na hii slogan yao ”Kataa Ndoa" hakuna atakaebaki salama
Kwenye uvivu,,kupenda kitonga ,dharau ,umegusa penyewe.Watoto wa 2000's; maadili 0, heshima 0, nidhamu 0, IQ zao ziko chini, akili 0, adabu 0, maafili 0, ujuaji 100/100, matusi 100/100, ukaidi 100/100, dharau 100/100, uvivu 100/100, kupenda kitongo 100/100!! Kupenda majungu 100/100!
Hiki kizazi kitasumbua sana jamii miaka ijayo. Kwa humu jukwaani, kiongozi wao mkuu ni Popoma.