Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

Watoto wa 2000's; maadili 0, heshima 0, nidhamu 0, IQ zao ziko chini, akili 0, adabu 0, maafili 0, ujuaji 100/100, matusi 100/100, ukaidi 100/100, dharau 100/100, uvivu 100/100, kupenda kitongo 100/100!! Kupenda majungu 100/100!

Hiki kizazi kitasumbua sana jamii miaka ijayo. Kwa humu jukwaani, kiongozi wao mkuu ni Popoma.
 
Basi tutegemee wengi kuolewa,na hii slogan yao ”Kataa Ndoa" hakuna atakaebaki salama
Wanapenda kitonga wakike kwa wakiume ,ndio maana wakike wako na vibabu,,,wastaafu ,waume za watu nk. Na wakiume wako wengine wamechagua kuwa wanawake ,wengine wanapambana na mama zao
 
Kwenye uvivu,,kupenda kitonga ,dharau ,umegusa penyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…