Yesu alisema: "mtawatambua kwa matunda yao" Mti mzuri hautoi matunda mabaya. Yanayoujaza moyo wa mtu ndiyo yamtokayo mtu kinywani. Nikikaa na kuongea na wewe ndani ya muda mfupi nitatambua yaliyoujaza moyo wako. Petro alijulikana kwa usemi wake tu kwamba alikuwa mfuasi wa Yesu.Kwa hiyo wewe unafuatlia maisha yao hadi wanapotoka hapo kanisani!? Na mioyo yao unauwezo wa kuisoma!?
Sio kweli ๐ ๐Hoja yangu ni kwamba huyo secular historian alithibitisha kwamba Yesu alikuwepo duniani. Na Yesu alipokuwa duniani alitaja habari za shetani na mbinguni. Kwahiyo ni kweli kwamba mbingu ipo.
Sasa waulize mbinguni ni wapi hutapata jibu la kuekeweka.Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani.
Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu.
Kanisa hilo linaamini kwamba watakaoingia mbinguni, ni wale tu waliookoka na wanaoishi maisha ya utakatifu. Kwa sababu hiyo taratibu za ibada na mwenendo wa Watumishi na waumini, unafuata Maandiko bila kuchuja au kufuata mapokeo.
Kwa ufupi, wanafanya mambo yafuatayo:
1. Mtu akiokoka, anafundishwa haraka umuhimu wa ubatizo wa maji mengi na kisha anabatizwa katika maji mengi. Wanasimamia andiko la Yn 3:23 na Marko 10:38-39.
2. Washirika wote wanahimizwa kuomba ubatizo wa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ili wawe na ujasiri wa kuwahubiri wengine Injili kama ilivyokuwa kwa mitume walipojazwa Roho Mtakatifu(Mdo 2:4).
3. Mchungaji wao sio mpenda makuu na anaishi maisha safi ya utakatifu. Ni mnyenyekevu lakini amejaa nguvu ya Roho Mtakatifu. Wana siku za maombezi kwa wote wenye shida. Mchungaji huyo anawaombea watu bure kwa Jina la Yesu sawasawa na Mt 10:8, bila kuwaambia wagonjwa na wenye shida watoe kwanza sadaka au wanunue chumvi na mafuta ya upako. Miujiza ya uponyaji inafanyika sana lakini Mchungaji hatukuzwi wala kusifiwa. Yeye mwenyewe anasema sifa zote apewe Yesu Kristo.
4. Wakati wa chakula cha Bwana au meza ya Bwana hawatumii mvinyo wala divai yenye kilevi kwa kuzingatia Maandiko mengi yanayokataza ulevi.
5. Ibada zao sio za Jumapili tu. Wana ibada nyingine katikati ya wiki kwa ajili ya kujifunza Neno la Mungu(Bible Study). Wanafanya hivyo kama Waberoya walivyofanya(Matendo 17:11).
6. Mchungaji wa Kanisa hilo anapohubiri, anasisitiza sana wokovu na maisha ya utakatifu(Ebr 12:14). Na anafundisha wazi kabisa kwamba mtu akifanya dhambi ya uzinzi, atatengwa na kukemewa mbele ya wote kama ilivyoandikwa katika 1 Tim 5:20.
7. Washirika wanavaa mavazi ya heshima na yenye kusitiri mwili kama Maandiko yanenavyo katika 1 Timotheo 2:9โ10. Kina kaka hawana utani utani na mizaha na kinadada hata kwenye kwaya!
8. Washirika wanashirikiana sana kwa upendo kama ilivyokuwa wakati wa Kanisa la kwanza(Mdo 2:43-47). Nyakati za huzuni kama vile misiba au nyakati za furaha, mtu akifunga ndoa au akipata mtoto, washirika wanajihusisha sana na matukio hayo kama watoto wa baba mmoja!
9. Ibada zao ni za kusisimua. Wakati wa sifa kuna vigelegele na sauti kubwa za shangwe kama Daudi anavyohimiza katika Zab 33:1-3 na Zaburi 47:1. Wakati wa kuabudu, washirika wengi wanabubujikwa na machozi ya furaha!
10. Kuna siku wanakuwa na ibada za mikesha ya maombi. Wanafanya hivyo kwa kukumbuka jinsi Yesu alivyokuwa akikesha mlimani kwa maombi(Luka 6:12). Maombi yao ni ya nguvu. Akiingia Kanisani mtu mwenye pepo, pepo wanatoroka upesi! Kuna uwepo mkubwa wa Mungu.
Ukikutana na washirika wa Kanisa hilo utajua tu kwa haraka wameokoka kwa jinsi wanavyovaa na jinsi wanavyoongea. Usemi wao unawatambulisha(Mt 26:73). Wamejaa Neno!
Ukisali katika kanisa hilo unajisikia kabisa ufalme wa Mungu uko karibu na wewe!
Kwa ujumla naamini asilimia kubwa ya washirika wa Kanisa hilo watakwenda mbinguni. Kama na wewe una nia ya kufika mbinguni nakushauri utafute Kanisa la namna hiyo ujiunge nalo.
Chuma hunoa chuma(Mit 27:17).
Kwahiyo nyie kusalia kwenye makanisa mmejifunzia wapi ?Mkuu, hujui historia ya Kanisa? Kanisa la kwanza lilianza wakati Yesu ameishapaa! Kabla ya hapo Yesu alikuwa akienda kwenye masinagogi.
Wanawake siku zote ni wapumbavu vichwani ...na wewe no mmoja wao wa hao wapumbavu ...hakuna wskristo wa kweli duniani ..pia neno madhehebu ni neno la shetani ...ni shauri la shetaniWaswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani.
Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu.
Kanisa hilo linaamini kwamba watakaoingia mbinguni, ni wale tu waliookoka na wanaoishi maisha ya utakatifu. Kwa sababu hiyo taratibu za ibada na mwenendo wa Watumishi na waumini, unafuata Maandiko bila kuchuja au kufuata mapokeo.
Kwa ufupi, wanafanya mambo yafuatayo:
1. Mtu akiokoka, anafundishwa haraka umuhimu wa ubatizo wa maji mengi na kisha anabatizwa katika maji mengi. Wanasimamia andiko la Yn 3:23 na Marko 10:38-39.
2. Washirika wote wanahimizwa kuomba ubatizo wa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ili wawe na ujasiri wa kuwahubiri wengine Injili kama ilivyokuwa kwa mitume walipojazwa Roho Mtakatifu(Mdo 2:4).
3. Mchungaji wao sio mpenda makuu na anaishi maisha safi ya utakatifu. Ni mnyenyekevu lakini amejaa nguvu ya Roho Mtakatifu. Wana siku za maombezi kwa wote wenye shida. Mchungaji huyo anawaombea watu bure kwa Jina la Yesu sawasawa na Mt 10:8, bila kuwaambia wagonjwa na wenye shida watoe kwanza sadaka au wanunue chumvi na mafuta ya upako. Miujiza ya uponyaji inafanyika sana lakini Mchungaji hatukuzwi wala kusifiwa. Yeye mwenyewe anasema sifa zote apewe Yesu Kristo.
4. Wakati wa chakula cha Bwana au meza ya Bwana hawatumii mvinyo wala divai yenye kilevi kwa kuzingatia Maandiko mengi yanayokataza ulevi.
5. Ibada zao sio za Jumapili tu. Wana ibada nyingine katikati ya wiki kwa ajili ya kujifunza Neno la Mungu(Bible Study). Wanafanya hivyo kama Waberoya walivyofanya(Matendo 17:11).
6. Mchungaji wa Kanisa hilo anapohubiri, anasisitiza sana wokovu na maisha ya utakatifu(Ebr 12:14). Na anafundisha wazi kabisa kwamba mtu akifanya dhambi ya uzinzi, atatengwa na kukemewa mbele ya wote kama ilivyoandikwa katika 1 Tim 5:20.
7. Washirika wanavaa mavazi ya heshima na yenye kusitiri mwili kama Maandiko yanenavyo katika 1 Timotheo 2:9โ10. Kina kaka hawana utani utani na mizaha na kinadada hata kwenye kwaya!
8. Washirika wanashirikiana sana kwa upendo kama ilivyokuwa wakati wa Kanisa la kwanza(Mdo 2:43-47). Nyakati za huzuni kama vile misiba au nyakati za furaha, mtu akifunga ndoa au akipata mtoto, washirika wanajihusisha sana na matukio hayo kama watoto wa baba mmoja!
9. Ibada zao ni za kusisimua. Wakati wa sifa kuna vigelegele na sauti kubwa za shangwe kama Daudi anavyohimiza katika Zab 33:1-3 na Zaburi 47:1. Wakati wa kuabudu, washirika wengi wanabubujikwa na machozi ya furaha!
10. Kuna siku wanakuwa na ibada za mikesha ya maombi. Wanafanya hivyo kwa kukumbuka jinsi Yesu alivyokuwa akikesha mlimani kwa maombi(Luka 6:12). Maombi yao ni ya nguvu. Akiingia Kanisani mtu mwenye pepo, pepo wanatoroka upesi! Kuna uwepo mkubwa wa Mungu.
Ukikutana na washirika wa Kanisa hilo utajua tu kwa haraka wameokoka kwa jinsi wanavyovaa na jinsi wanavyoongea. Usemi wao unawatambulisha(Mt 26:73). Wamejaa Neno!
Ukisali katika kanisa hilo unajisikia kabisa ufalme wa Mungu uko karibu na wewe!
Kwa ujumla naamini asilimia kubwa ya washirika wa Kanisa hilo watakwenda mbinguni. Kama na wewe una nia ya kufika mbinguni nakushauri utafute Kanisa la namna hiyo ujiunge nalo.
Chuma hunoa chuma(Mit 27:17).
Sijaona sehemu uliponijibu swali langu naona hilo limekushinda.Kabla hajapaa aliweka msingi wa Kanisa
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Hata wewe utakufa pia kwanza hakuna mtu aliwahi kufa na akarudi akasema alienda mbinguniKwani wewe utaishi milele duniani? Subiri ukifa ndo utathibitisha kuwa kuna mbingu. Ila utakuwa umechelewa kuamini.
Huoni mind zenu zinahitaji reform? Huyo Mwamposa ambaye akijinasibu kwenye TVs kuwaombea na kuwaponya wagonjwa wengine bila kushauri wapelekwe hospitalini, hajajigusa kumwombea na kumponya mama yake badala yake anampeleka hospitalini Ujerumani?! Kweli?! Kama siyo utapeli ni nini?!No reform imeingiaje tena hapa, mkuu?
Pole sana. Aliyekutunza tumboni miezi 9 unamuita mpumbavu. Mungu akusamehe bureWanawake siku zote ni wapumbavu vichwani ...na wewe no mmoja wao wa hao wapumbavu ...hakuna wskristo wa kweli duniani ..pia neno madhehebu ni neno la shetani ...ni shauri la shetani
Wewe akili hauna kwa hiyo wewe unadhani upumbavu unatokana na kutokutunzwa tumboni au kutunzwa tumboni ๐คฎ๐ kweli logic yako imeanithika yani wewe ni anithi wa akili ....ikiwa ni hivyo basi wapumbavu duniani awapo au wapumbavu ni wale wasio zaa tu dunia hivyo Yesu wako naye ni mpumbavu maana akuwa na uzao wake ....tumia akili mtu kuwa au kutokuwa upumbavu akuhusiani na kuzaaa weee msukule wa kilokole .Pole sana. Aliyekutunza tumboni miezi 9 unamuita mpumbavu. Mungu akusamehe bure
Halafu unakuta kondoo zimejaa pale kupokea uponyaji na magari.... Ndiyo maana mimi sikubali kuitwa mwanakondoo.Mwamposa ameondoka juzi kumpeleka mama yake nchini ujerumani kwenda kutibiwa no reform No election
Bila shake ni waaminio wa WILLIAM MARRION BRANHAM Nabii wa kizazi.Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani.
Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu.
Kanisa hilo linaamini kwamba watakaoingia mbinguni, ni wale tu waliookoka na wanaoishi maisha ya utakatifu. Kwa sababu hiyo taratibu za ibada na mwenendo wa Watumishi na waumini, unafuata Maandiko bila kuchuja au kufuata mapokeo.
Kwa ufupi, wanafanya mambo yafuatayo:
1. Mtu akiokoka, anafundishwa haraka umuhimu wa ubatizo wa maji mengi na kisha anabatizwa katika maji mengi. Wanasimamia andiko la Yn 3:23 na Marko 10:38-39.
2. Washirika wote wanahimizwa kuomba ubatizo wa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ili wawe na ujasiri wa kuwahubiri wengine Injili kama ilivyokuwa kwa mitume walipojazwa Roho Mtakatifu(Mdo 2:4).
3. Mchungaji wao sio mpenda makuu na anaishi maisha safi ya utakatifu. Ni mnyenyekevu lakini amejaa nguvu ya Roho Mtakatifu. Wana siku za maombezi kwa wote wenye shida. Mchungaji huyo anawaombea watu bure kwa Jina la Yesu sawasawa na Mt 10:8, bila kuwaambia wagonjwa na wenye shida watoe kwanza sadaka au wanunue chumvi na mafuta ya upako. Miujiza ya uponyaji inafanyika sana lakini Mchungaji hatukuzwi wala kusifiwa. Yeye mwenyewe anasema sifa zote apewe Yesu Kristo.
4. Wakati wa chakula cha Bwana au meza ya Bwana hawatumii mvinyo wala divai yenye kilevi kwa kuzingatia Maandiko mengi yanayokataza ulevi.
5. Ibada zao sio za Jumapili tu. Wana ibada nyingine katikati ya wiki kwa ajili ya kujifunza Neno la Mungu(Bible Study). Wanafanya hivyo kama Waberoya walivyofanya(Matendo 17:11).
6. Mchungaji wa Kanisa hilo anapohubiri, anasisitiza sana wokovu na maisha ya utakatifu(Ebr 12:14). Na anafundisha wazi kabisa kwamba mtu akifanya dhambi ya uzinzi, atatengwa na kukemewa mbele ya wote kama ilivyoandikwa katika 1 Tim 5:20.
7. Washirika wanavaa mavazi ya heshima na yenye kusitiri mwili kama Maandiko yanenavyo katika 1 Timotheo 2:9โ10. Kina kaka hawana utani utani na mizaha na kinadada hata kwenye kwaya!
8. Washirika wanashirikiana sana kwa upendo kama ilivyokuwa wakati wa Kanisa la kwanza(Mdo 2:43-47). Nyakati za huzuni kama vile misiba au nyakati za furaha, mtu akifunga ndoa au akipata mtoto, washirika wanajihusisha sana na matukio hayo kama watoto wa baba mmoja!
9. Ibada zao ni za kusisimua. Wakati wa sifa kuna vigelegele na sauti kubwa za shangwe kama Daudi anavyohimiza katika Zab 33:1-3 na Zaburi 47:1. Wakati wa kuabudu, washirika wengi wanabubujikwa na machozi ya furaha!
10. Kuna siku wanakuwa na ibada za mikesha ya maombi. Wanafanya hivyo kwa kukumbuka jinsi Yesu alivyokuwa akikesha mlimani kwa maombi(Luka 6:12). Maombi yao ni ya nguvu. Akiingia Kanisani mtu mwenye pepo, pepo wanatoroka upesi! Kuna uwepo mkubwa wa Mungu.
Ukikutana na washirika wa Kanisa hilo utajua tu kwa haraka wameokoka kwa jinsi wanavyovaa na jinsi wanavyoongea. Usemi wao unawatambulisha(Mt 26:73). Wamejaa Neno!
Ukisali katika kanisa hilo unajisikia kabisa ufalme wa Mungu uko karibu na wewe!
Kwa ujumla naamini asilimia kubwa ya washirika wa Kanisa hilo watakwenda mbinguni. Kama na wewe una nia ya kufika mbinguni nakushauri utafute Kanisa la namna hiyo ujiunge nalo.
Chuma hunoa chuma(Mit 27:17).
Hakika mkristo wa kweli utamjua aishivyo na jamii inayomzungukaLuk 10:25 .... "Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?" Kuisoma Biblia na kuiga mwenendo wa mitume haitoshi kukupa tiketi ya kuuona uso wa Baba, japo kufanya kinyume chake yaweza kukunyima nafasi hiyo.
Sura hii ina swali ambalo huwa nalipenda sana kulisikia "And who is my neighbour?"
Math: 6:1 na kuendelea, inatutahadharisha tusiwe kama Mafarisayo na wanafiki wengine, matendo yetu katika jamii ndo kila kitu, tusijilinganishe na hao, "Amini nawaambia, wamekwishakupata thawabu yao".
Kwahiyo hayo yote wanayafanya kwa kuzingatia maandiko, ni vema na haki. Lakini je, wanazingatia yale maelezo ya Mtakatifu Yakobo kuhusu dini safi? Je wanaishi vipi na jamii inayowazunguka, ama ndio wamekwishajiona wao wa mbinguni wanajihadhari wasienenda na wale wa mataifa.
Mat 5:46 "Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi, mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru je, nao hawafanyi hayohayo?". Katika sifa zote za hao waumini nimeona unazungumzia wanavyoshirikiana na washarika wenzao tu, inamaana jamii nzima wanayoishi ni ya waamini wenzao tu?
Mfalme zumaridiHeaven haipo mkuu ni story Kuna kiumbe kilishawahi kufika huko?
๐๐๐Mfalme zumaridi