Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

Ulishawahi kumsikia mtu anaitwa kibwetele
 
Ukisali katika kanisa hilo unajisikia kabisa ufalme wa Mungu uko karibu na wewe!
Nimependa pale uliposema hilo ndio kanisa pekee ambalo watu wanaenda kupewa Sadaka na Mchungaji kanisani ila sio kutoa Sadaka, ningependa kujua kanisa hilo lipo wapi?
 
Leta andiko linaloonyesha kuwa yesu aliwahi kusali kanisani
Katika pitapita za usomaji wa Biblia nimeona mara nyingi wayahudi walikuwa wakienda kwenye MASINAGOGI mahala ambapo walipata mafundisho ya Neno la Mungu

Na sehemu yakufanya Ibada walikuwa wakienda Yerusalemu ndipo wao walipoamini ni mahala pa kufanyia Mungu Ibada

Tupo Kwa ajili ya kujifunza kama Kuna mahala nimekosea ni sahihi kuelekezana ili tuzidi kufunguka
 
Tubuni mkabatizwe na kuiamini injili kwamaana ufalme wa Mungu umekaribia.
 
Mimi naona Tatizo kubwa lipo kwenye namna ya mafundisho wanayofundishwa
 
Wapo vizuri
Ila ubatizo si lazima uwe wa maji mengi
 
Mbinguni ni kwenda kila mtu kivyake mkuu

Pia hakuna guarantee. Ni matendo yako wewe

Hapo kuna wenye dhambi wengi tu wajifanya kondo

Litaje kanisa hapa inawezekana kuna members humu
 
4. Wakati wa chakula cha Bwana au meza ya Bwana hawatumii mvinyo wala divai yenye kilevi kwa kuzingatia Maandiko mengi yanayokataza ulevi.
Apa mbona uja weka na kifungu cha kwenye bible mtumishi....!!?

Vipi ntapata pisi mbili za kuwowa uko
 
Mbingu ipi? Acha ujinga
 
Pamoja na kuwa mimi sio wa huko naona kama unaongelea wasabato (seventh day - SDA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…