MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Biblia ndo nini acha upuuziSoma Biblia
Umwa ww halafu uende kwake kama hujaambiwa umerogwa na mama yako mzazi.Mwamposa ameondoka juzi kumpeleka mama yake nchini ujerumani kwenda kutibiwa no reform No election
Kwa nini reference iwe biblia na sio kitabu kingine? Mfano kitabu cha hesabu form 4Kwani Biblia inasemaje kuhusu fungu la kumi?
SIYO KWELI YESU AMEINGIA KANISANI SANA TU HAPO NAMTETEA ...ILA HATA YEYE MLETA UZI AWEZI KUKUPA JIBU LA SWALI LAKO AU LENU NIULIZENI MIMI ? TATIZO LA WAKRISTO NI UONGO ...WAO WANASEMA KANISA NI NYUMBA YA IBADA HAPO NDIPO WALIPO POTOSHA ...YESU NDIYE ALIYE ANZISHA MAKANISA... ILA AYAKUWA NYUMBA YA IBADA NDIYO MAANA YALIPO ANZISHWA WATU WALIKUWA WANAINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI HAKUKUWA NA SHIDA MAANA SIYO KOSA KUINGIA NA VIATU KWENYE NYUMBA ISIYO YA IBADAHawezi kuleta jibu Yesu hajawahi kuingia kanisani kanisa wameanzisha wao kina setfree
Nyinyi wote mpo kwenye upotevu wa kujitakia ...ukisikia upo ndani ya haya mambo mawili tayari upo upotevuniEti hawanywi divai, Yesu mwenyewe aligeuza maji kuwa divai, wanapingana na maandiko?π Acheni UTAPELI
Kanisa ni MOJA, TAKATIFU, KATOLIKI la MITUME.
Sawa leta andiko linaloonyesha Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada inayoitwa kanisaSIYO KWELI YESU AMEINGIA KANISANI SANA TU HAPO NAMTETEA ...ILA HATA YEYE MLETA UZI AWEZI KUKUPA JIBU LA SWALI LAKO AU LENU NIULIZENI MIMI ? TATIZO LA WAKRISTO NI UONGO ...WAO WANASEMA KANISA NI NYUMBA YA IBADA HAPO NDIPO WALIPO POTOSHA ...YESU NDIYE ALIYE ANZISHA MAKANISA... ILA AYAKUWA NYUMBA YA IBADA NDIYO MAANA YALIPO ANZISHWA WATU WALIKUWA WANAINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI HAKUKUWA NA SHIDA MAANA SIYO KOSA KUINGIA NA VIATU KWENYE NYUMBA ISIYO YA IBADA
Labda tumuulize yeye aliposema nami nitalijenga kanisa langu milango yote ya kuzimu haitalishinda,kwanini hakusema msikiti wangu?Leta andiko linaloonyesha kuwa yesu aliwahi kusali kanisani
Mambo ya kusali kwenye nyumba inayoitwa kanisa nani kawafundisha?Labda tumuulize yeye aliposema nami nitalijenga kanisa langu milango yote ya kuzimu haitalishinda,kwanini hakusema msikiti wangu?
Waislamu mnapotoka na kupotoshwa na wakristo feki na ukristo feki ....maswali yanakuja hivi...Sawa leta andiko linaloonyesha Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada inayoitwa kanisa
Mambo ya ajabu sanaMwamposa ameondoka juzi kumpeleka mama yake nchini ujerumani kwenda kutibiwa no reform No election
Na ipo hivyoYeah,kagundua wengi wanaenda kwake kwa changamoto za uchumi tuπ€£π€
Njoo jibu nakupa mimi hakuna mkristo yoyote humu JF hata mmoja anayeweza kukupa jibu la hilo swali ..ila mimi nitakupa jibu ambalo wewe hauta weza kulipinga wala kulikataa....ππMambo ya kusali kwenye nyumba inayoitwa kanisa nani kawafundisha?
Kipindi anafufuka wewe ulikuwepo au umesoma kwenye maandiko tuKamuulize Lazaro, alikufa akafufuka