Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati.

Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium.

Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na fedha za kutengeneza mpya kati ya miaka ya 2000s hivyo kwasasa amebakiwa na active nuclear warhead 625.

Ikumbukwe kwamba marekani anazo active nuclear warhead 5500 mpaka sasa.
Tumekusikia msemaji wa Kremlin
 
Ndugu,unashangaza sana.
Umeshikilia kwa furaha sana juu mipango ya kifo Cha Putin.
Ukweli Sasa ndio nakuona kua u mjinga sana,pingine watu wengi hawakukujua.

Nadhani kwa ujinga wako wewe na wenzio mnaamini Putin akifa basi Rais ajae huko Russia atakubali majeshi ya NATO yasogee mpakani kwa Urusi.

Kwamba akifa Putin Urusi haitatengeneza Tena silaha Bora kabisa hapa duniani.

Kwamba akifa Putin Urusi itakua dhaifu kabisa kijeshi na kiuchumi.

Kwamba akifa Putin nchi za NATO zitapumua.

Kwamba akifa Putin raia ajaye atakuaa mtiifu kwa USA na NATO.

Pengine akifa Putin ndio USA itakua huru kuitawala Dunia.
Yaani naona ujinga wako na WA nchi au watu waliomwekea Putin sumu amabyo wewe ndio unayojivunia.

Hivi shida ni kifo Cha Putin?
Putin ni binadamu tunajua atakufa TU,Mimi nitakufa,wewe utakufa na hao west watakufa.
Au shida ni Putin kufa akiwa madarakani?
Je? Kennedy wa USA hakufia madarakani?
Kwa hiyo Putin akifa Urusi nayo itakufa?

Kennedy alikufa USA ilikufa?

Labda nikuulize kilaza wewe,
Mgogoro mkali kabisa kati ya USA na Russia Ile USSR, Rais mbabe kabisa wa USSR aliepeleka makombora ya nyukilia Cuba kutaka kuipiga USA Alikua Putin?

Basi kama hakua Putin Sasa ndio ujue hata akifa Putin Leo watakuja Marais wengine wa Urusi wasiokubaliana kabisa na upuuzi wa USA na NATO.
Tena tushukuru Mungu Putin tunamjua,wajao hatuwajui wanaweza kua hawana shida kabisa na diplomasia wao neno moja makombora 100.
Namaana wao wanaweza kuwa hawasemi sana.,Maneno machache vita zaidi.

Ujinga wako wewe na watu wa west wanadhani Putin akifa basi Urusi itakua dhaifu.
Bifu la USA na Urusi ni la kihistoria Mzee,jifunze.
Huko Urusi watoto wakizaliwa wanambiwa kabisa Adui Yao ni USA,nako USA watoto wakilia wakikataa kula au kufanya jambo ambalo wazazi wao wanataka wafanye Huwa wanatishiwa kuwa "eat,if you don't eat the Russians are coming".
Maana yake uadui wa East na west ni WA kihistoria.
Hivyo Rais yoyote wa Urusi akija lazima aangalie maslahi ya urusi.akienda kinyume na hivyo Warusi watamkataa kwa namna yoyote Ile.

Kama unabisha uliza Gobachev Yuko wapi?na kwa Nini haishi Urusi?,wakati Marais wote wa Urusi walistaafia Urusi walifia Urusi na kuzikwa Urusi.

Putin ataondoka lakini Urusi Itabaki na uimara wa Urusi hautatetereka.

Hata hivyo udhaifu mwingine wa kwako wewe na WA USA na NATO wote ni kuombea Putin afe, hii inaonesha Putin kawashinda kwa mbinu,mikakati,akili,maarifa na uwezo kwa Kila nyanja Marais wote wa nchi za Magharibi,majasusi wote wa nchi za Magharibi na majeshi Yao yote.hii ni karama kubwa sana kwa Putin.
Hapa Putin kaishaingia kwenye vitabu vya historia.
Kitu pekee mlichobakiza ni kuombea Putin afe.aisee huu ni udhaifu mkubwa sana kwa USA na west wote,ni udhaifu mkubwa sana kwa NATO.

Mliweza kuwaondoa kijeshi Marais wa vijinchi dhaifu kama Sadam Hussein,muamar gadafi na akina Slobodani Milosevic lakini kwa mwamba Putin mtaishia kumroga tu au kumwekea sumu ndio uwezo wenu dhidi ya Putin ulipoishia.
Ninaposema uwezo wenu naanisha wewe na USA na NATO na west wote.
Naskia kwa ule ujinga wao eti huko Ulaya wanamfanyia uchawi Putin kwa kumroga[emoji23][emoji23], hawajui kuwa huko Russia ndio giningi kwenyewe
 
Kitu chochote KikiExpire kinakuwa na Madhara makubwa,Kwa hiyo hayo Makombora ndiyo yenyewe kwa kuwatungulia Wakaidi kwa sababu yatakuwa yameongezeka Madhara,Russia kanyaga twende.
Unahitaji kujipa elimu zaidi kuhusu nuclear technology. Ikiexpire inatakiwa izikwe.
 
Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati.

Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium.

Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na fedha za kutengeneza mpya kati ya miaka ya 2000s hivyo kwasasa amebakiwa na active nuclear warhead 625.

Ikumbukwe kwamba marekani anazo active nuclear warhead 5500 mpaka sasa.
Kuwa nazo 500 ama 100000000 haisaidii, vita ya nuclea ni ya kutaimiana mrusi ndo ataanza so akianza na vita inaishia hapo kwa sababu inafukua juu chini na kama akilenga kwenye maghala ya nuclear ndo ujue usa kwisha habari yake
 
Urusi hawezi kumuwahi mmarekani kwasababu tàyari amezungukwa na kambi za kijeshi na washirika wake ni wengi hapo ulaya na kule japan.
 
Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati.

Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium.

Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na fedha za kutengeneza mpya kati ya miaka ya 2000s hivyo kwasasa amebakiwa na active nuclear warhead 625.

Ikumbukwe kwamba marekani anazo active nuclear warhead 5500 mpaka sasa.
Duh...wewe nyumbani kwako unayo mapanga mangapi?!?!
 
Huyu jamaa apimwe akiliView attachment 2250565
Screenshot_20220604-201421.jpg
 
Aisee team NATO wamewehukaView attachment 2250567
Sasa hii taarifa yako mwenyewe pamoja na kwamba wamedanganya lakini ambazo ni operational ziko 1458 na nyingine wanasema ready for deployment kama 3039 ambao ni uongo, hizo ni decommissioned baada ya kuwa zimeshaexpire pamoja na hizo 1760.

Mimi nipo hapa Kremlin, nakupa taarifa sahihi.
 
Silaha nyingi za Russia amezi modernize ziko vizuri sana!
Russia anafanya decommissioning ya matakataka yote wanayoita nuclear weapons kwasababu yameshaexpire.

Angalia post #59
 
Back
Top Bottom